Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,482
- 40,001
wameshabadirisha = wameshabadilishaMzee wangu bado tu hawajaupata huu ujumbe wako??? Mbona naona kama wameshabadirisha na siku hizi wanatumia podium kama ya white house vile..
Mnaoshindwa mambo makubwa si vibaya kudandia vitu vidogo vidogo na vya kipuuzi kabisa.Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!
Msiende naye haraka, yeye ni spin Doctor.Usitutoe kwenye reli kuhusu issue ya CAG kwa kurudia mada zako za nyuma.
Aendelee kumtetea Jiwe na vibaraka wake.
tomayto, tomahto...., potayto, potahto....wameshabadirisha = wameshabadilisha
Mkuu kwa hiyo kukiwa na habari ya CAG hakuna kuongea mambo mengine?Usitutoe kwenye reli kuhusu issue ya CAG kwa kurudia mada zako za nyuma.
Ha ha haHili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!
Mimi nimekuelewa.. huwa najihisi ninahasira sana. Kumbe mpo.... Huu ujumbe ni awamu ya pili sasa nauona, hilo dude kweli chafu, libadilishwe.Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!
uteuzi unasakwa kwa udi na uvumbaMzee wangu bado tu hawajaupata huu ujumbe wako??? Mbona naona kama wameshabadirisha na siku hizi wanatumia podium kama ya white house vile..
wameshabadirisha = wameshabadilisha