Msigwa wa Ikulu Wenzetu Mmezoea Uchafu Hivi?...

Mzee Mwanakijiji ana tofauti gani na Mzee Baba?
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao unaowaambia wenyewe ni wachafu miili mpaka roho unategemea nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Uchafu wa roho zao ndiyo matokeo ya haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivoona hili dude nkajua ni 'Wireless Speaker' kumbe ni dude jingine.

Tunasubiri ripoti ya CAG IWASILISHWE BUNGENI
 
Misimamo gani ambao haujulikani?
Zamani ulikuwa unasimamia misingi, siku hizi unasimamia mtu, na unajenga "misingi" kumlinda huyo mtu. shida iko hapo, na hilo liko wazi kwa wengi isipokuwa wewe tu. hushangai watu wa Lumumba ndio wanaokupongeza siku hizi?
 
Back
Top Bottom