Msigwa wa Ikulu Wenzetu Mmezoea Uchafu Hivi?...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

1062837
 
Mnaoshindwa mambo makubwa si vibaya kudandia vitu vidogo vidogo na vya kipuuzi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Ha ha ha
Ila MM hili dude hulipendi kama nini.
Mara ya kumi hii unawapigia kelele.
Wewe upo USA ila kwa Africa hilo ni safi linatumiwa na Rais anayekusanya zaidi ya 14trilion per month.
Hilo dude halizidi 10mil.

Ila ushawahi kujiuliza kuhusu masharti ya mganga?

Kwa vile upo US huwezi kujaribu kuifikiria hii point but I beg you to include this pont too
 
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Mimi nimekuelewa.. huwa najihisi ninahasira sana. Kumbe mpo.... Huu ujumbe ni awamu ya pili sasa nauona, hilo dude kweli chafu, libadilishwe.
 
Back
Top Bottom