Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,008
- 28,364
Huyo mtani wako?labda uniambie nani mtani wa akina Mapunda,Ngonyani,Katembo na waukanda huo?Msigwa ajue kuwa uteuzi wake katika nafasi hiyo ni kutokana na uchawa na si elimu wala weledi!
No Reforms No Election 🔥!