TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,504
- 28,437
Kuna kusema na kuandika!
Ameanza kujitetea huyu mbwiga, na badowakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika ripoti zetu"Gerson Msigwa Msemaji wa serikali.
MfumoAtajikuta nje ya mfumo sio muda
ukiwa na mambo meusi huwezi kukaa kwa amaniHii dunia ina futuhi sana.Huyu Greson leo anasema hayo siyo maneno aliyotamka kukataza na kutoa kauli kauli sio mahandishi tu hata sauti yako.
View attachment 3366940View attachment 3366941
Ile clip hipo sasa anakanusha.ukiwa na mambo meusi huwezi kukaa kwa amani
hovyo kabisa kwa sisiem nyeusi ni blue na nyeupe ni crem. akome no reforms no electionwakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika ripoti zetu"Gerson Msigwa Msemaji wa serikali.
aisee hadi raha wadau wameamua kumunyoosha haswa hadi kajiona falaMsigwa kwa maboko aliyotoa wiki hii kakalia kuti kavu
😂😂😂😂😂😂😂😂NO REFORM NO ELECTION
Nipo goba aje bila jeshi alafu tukutane
Bungo la kijani bado muda wake kuiva.😀😀😀katema bungo.. Gen Z wa Bongo wameamka vibaya sana
Na yeye anaunga mkono kwa lugha nyingine.wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika ripoti zetu"Gerson Msigwa Msemaji wa serikali.
Hahaha.. .kafanyaje?Msigwa kwa maboko aliyotoa wiki hii kakalia kuti kavu