Wana Ukumbi,
Sasa nimethibitisha kuwa CHADEMA ina hali mbaya sana katika kupata mgombea wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Hilo linatokana na kukosa "majembe" ndani ya chama kiasi cha watu wasio na sifa hata za kuwa wabunge (kwa mujibu wa rasimu ya jaji Warioba) nao kuwaza urais.
Mchungaji Msigwa ambae ni mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, ametoa ya moyoni kuwa na yeye ana ndoto za urais kwani ana amini akipewa nafasi hiyo atafanya yale ambayo Watanzania wameyakosa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 tangu uhuru.
Source: Facebook page ya Mchungaji Msigwa.
My take,
Hivi kweli mtu wa aina ya mchungaji Msigwa aliyekimbiwa na waumini kwenye kanisa lake, leo hii ana staili kufikiria kuongoza nchi!? Hii ni ajabu ya mwaka 2014.
Wewe utakuwa kadinda, unapoto mada acha iwee juu umeeleza intro vizuri, main body ukaweka swali, conclusion uktoaa jibu tenaaa negtive sasa kwani umetuuliza.
Msigwa ni degree holder sif kuu ya kuwaa rais, ni mtanzania above 40 yrs na ni mtanzaniaa sio kama huyo mnyru wa uk na sifa katimiza
Lakini labda nikuibie siri tu PETER MSIGWA Ndio KATIBU MKUU WA CDM mtarajiwa, raisi ni Dr.W.Slaa
msigwa ni msomi mzuri sana ana first degree ya shoes maintenence,anafaa sana kupeperusha bendera ya cdm katika urais.Wewe utakuwa kadinda, unapoto mada acha iwee juu umeeleza intro vizuri, main body ukaweka swali, conclusion uktoaa jibu tenaaa negtive sasa kwani umetuuliza.
Msigwa ni degree holder sif kuu ya kuwaa rais, ni mtanzania above 40 yrs na ni mtanzaniaa sio kama huyo mnyru wa uk na sifa katimiza
Lakini labda nikuibie siri tu PETER MSIGWA Ndio KATIBU MKUU WA CDM mtarajiwa, raisi ni Dr.W.Slaa
Msigwa anajijua watu wanavyomchukulia huku mtaani au haambiwi ukweli? Siku akiambiwa hata ubunge hatatamani kurudi tena sembuse urais.
msigwa ni msomi mzuri sana ana first degree ya shoes maintenence,anafaa sana kupeperusha bendera ya cdm katika urais.
We huwezi kufananisha nyoka na chatu hivi msigwa mzima kweli? Ha ha ha ha urais hadi unatamaniwa hata na msigwa!!!!!!??? Kweli dunia ina vituko
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.
mi naamini kama kigeugeu jk ameweza kuwa rais, kila mtanzania anaweza kuwa rais...We huwezi kufananisha nyoka na chatu hivi msigwa mzima kweli? Ha ha ha ha urais hadi unatamaniwa hata na msigwa!!!!!!??? Kweli dunia ina vituko
muulize lukuvi anajua, kwa nin kikwete kamtuma aende kanisani awashawishi waumini kuwa wasikubali s3, kwa kuwa zanzibar itakuwa ni nchi ya kiislamu?katibu mkuu wa chadema sasa hivi ni padri, anaefuata mchungaji.. kwa hiyo ukatibu mkuu wa chadema ni kwa viongozi wa makanisa tu?
teh teh,mkuu vip lukuvi ana digirii ya nin?Hamfikii Lowasa mwenye degree ya kucheza ngoma.
kama watu wa Chalinze pamoja na hali duni waliyonayo tangu tupate Uhuru pamoja na kuwa na mmbunge ambae sasa hivi ni rais wa nchi wanaendelea kuichagua ccm tena miongoni mwa yuleyule aliyekuwa mbunge wao kwa nini mtanzania yeyote ashindwe kuongoza nchi hii,ili mradi tu,majeshi yakukubali kama ilivyo sasaWana Ukumbi,