Msigwa: Nina ndoto za urais!

Msigwa: Nina ndoto za urais!

Presidential posturing.
58184_217996101718747_620115728_n.jpg

Labda akawe rais wa familia yenu!
 
Mnamshangaa Msigwa kwa ''ndoto''?
Nyie mnaomshangaa ni viumbe wa ajabu kweli.Ina maana mmesahau mara hii kuwa hata Deo Kisandu na Hamis Kigwagwala nao wanazo hiihii ndoto?
NB.Hakuna tatizo kwa mtu kusema tamanio lake ila afuate taratibu basi.Msigwa akijitangaza kuwa mgombea urais mwakani bila kufuata taratibu atakuwa kichaa!
 
Ha ha ha Nina wasiwasi ipo siku hata tofali litapigiwa kura,Msigwa awe Rais?My foot bora nilipigie jiwe kura
 
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.

kwani dr slaa ni rais wa awamu ya ngapi? C umtaje mkwele wenu 2 utaeleweka? nyambafuuu,
 
Khaa!! "Nilidhani Msigwa ni mchungaji wa kweli kumbe ni muhuni wa kawaida kabisa" - Samwel 6
 
Hivi wee chiz unataka mfananisha Dk slaa na madaktari wako feki hawa
wa ccm vyuo gani walisoma?
 
Ana nn huyo kila cku ananukuu vitabu vya wengine kwa kiingereza kibovu?
 
Kigezo cha kikatiba cha kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uwe ni raia wa kuzaliwa ndani ya Tanzania. Uwe na umri usiopungua miaka 40, uwe walau na shahada ya chuo kikuu....aliyenavyo yeyote aweza kuingia katika seti ya kinyang'anyiro hicho.
 
Duh, kila mtu anataka Urais, kweli hii bongoland.
 
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.
Haa haa haa... ni Kikwete lol. Ndio amefanya hata kina Ngeleja na Makamba wafikirie wanaweza kuwa marais (soma marahisi)
 
Kwa poor perfomance ya Baba pusher, Msigwa can triple that perfomance. Msigwa ni Jembe. HADEMA ina hazina ya Viongozi.
 
Wana Ukumbi,

Sasa nimethibitisha kuwa CHADEMA ina hali mbaya sana katika kupata mgombea wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Hilo linatokana na kukosa "majembe" ndani ya chama kiasi cha watu wasio na sifa hata za kuwa wabunge (kwa mujibu wa rasimu ya jaji Warioba) nao kuwaza urais.

Mchungaji Msigwa ambae ni mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, ametoa ya moyoni kuwa na yeye ana ndoto za urais kwani ana amini akipewa nafasi hiyo atafanya yale ambayo Watanzania wameyakosa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 tangu uhuru.

Source: Facebook page ya Mchungaji Msigwa.

My take,

Hivi kweli mtu wa aina ya mchungaji Msigwa aliyekimbiwa na waumini kwenye kanisa lake, leo hii ana staili kufikiria kuongoza nchi!? Hii ni ajabu ya mwaka 2014.

Rais wa BFP ndio anamaanisha.
 
Sishangai na sitamshangaa kwa ndoto hizo maana ana haki ya kikatiba kama mtz pili anajilinganisha na waliopo hasa kwa madudu wanayoyafanya kiasi kwamba hata angekuwa rais yeye asingeyafanya!! Kumbuka kuwa maneno ya mwanachadema yeyote si maneno ya chama kiasi cha kuzichukulia hisiia binafsi yawe ni kama maamuzi ya chama!!
 
Back
Top Bottom