Wana Ukumbi,
Sasa nimethibitisha kuwa CHADEMA ina hali mbaya sana katika kupata mgombea wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Hilo linatokana na kukosa "majembe" ndani ya chama kiasi cha watu wasio na sifa hata za kuwa wabunge (kwa mujibu wa rasimu ya jaji Warioba) nao kuwaza urais.
Mchungaji Msigwa ambae ni mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, ametoa ya moyoni kuwa na yeye ana ndoto za urais kwani ana amini akipewa nafasi hiyo atafanya yale ambayo Watanzania wameyakosa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 tangu uhuru.
Source: Facebook page ya Mchungaji Msigwa.
My take,
Hivi kweli mtu wa aina ya mchungaji Msigwa aliyekimbiwa na waumini kwenye kanisa lake, leo hii ana staili kufikiria kuongoza nchi!? Hii ni ajabu ya mwaka 2014.