Msigwa: Nina ndoto za urais!

Msigwa: Nina ndoto za urais!

Msigwa anatamani urais kwa kuwa anaona nchi inavyoongozwa kiubabaishaji. Niliwahi kuona hotuba yake akichangia bungeni kuwa serikali kila wakati inakuja na mipango ileile ambayo haionyeshi matumaini ya kutukwamua kutoka hapa tulipo.
Na akatoa mapendekezo mazuri tu!
Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa na aliyejitoa kutukomboa kutoka kwenye umaskini wetu. Sio kupigana vijembe bila hoja yoyote.
 
Msigwa yupi!!!! Kama ni Hutu MCHUNGAJI WA MISUKULE basi huenda anaongelea uraisi wa SACCOS yao . lakini hata huko kwenye SACCOSyao itakuwa ngumu maana yeye HANA MAKENGEZA
 
Mbona Kikwete anakutawala?Sioni ni wananchi wa nchi gani wangekubali kuongozwa na huyu M.k.w.e.r.e lakini Watanzania mmemchagua so kwa nchi hii ya wakana Utaifa wao mbona sishangai kwani kila jambo kinawezekana.
dah!!,rais mkomao kama huyu msigwa si itakua ni aibu tu kwenye jumuia ya kimataifa?
 
Presidential posturing.
58184_217996101718747_620115728_n.jpg
 
Kikwete kafanya uraisi uonekane kama ukiranja mkuu shulenii!!
 
Msigwa anatamani urais kwa kuwa anaona nchi inavyoongozwa kiubabaishaji. Niliwahi kuona hotuba yake akichangia bungeni kuwa serikali kila wakati inakuja na mipango ileile ambayo haionyeshi matumaini ya kutukwamua kutoka hapa tulipo.
Na akatoa mapendekezo mazuri tu!
Tanzania tunahitaji kiongozi mwenye upeo mkubwa na aliyejitoa kutukomboa kutoka kwenye umaskini wetu. Sio kupigana vijembe bila hoja yoyote.

Nawalaumu waliotuletea JK maana sasa tumefikia hatua ya kuchanganyikiwa na kutokujua yupi anafaa kuwa kiongozi na yupi hana sifa za kuwa kiongozi.Tunapoelekea kama taifa kunatisha.Tanzania imejaa vipofu wa maono na mbaya zaidi tunaruhusu tuongozwe na vipofu wenzetu,Hii ni hatari kwakweli!!!!
 
Naskia msigwa naye anahudhuria clinic pale mirembe pamoja mwenzake lissu
 
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.

halafu wote ni maparoko

sijui wana nin hawa jamaa

kwanini tuh wasibakie na kazi ya kuchunga kondoo wa bwana?
 
Dr Slaa alishawahi kuwa rais! Hahahahahahaha sema nafsi yako inakusuta ila ukweli unaujua kuwa m.kwere kashindwa kuongoza nchi hadi kila mtu anafikiri kuwa rais.

JK akunaga!!! kachukuwa MATUZO KIBAO TU,huwezi kumfananisha na MAKENGEZA MBOE,familia imemshinda,ana nyumba ndogo VITI MAALUM.SLAA anaishi na KIMADA,MKE WAKE MAMA KAMILI amemburuza MAHAKAMANI kwa kutelekeza familia,hawa WAZINIFU wanashindwa kuendesha familia zao za watu tano tano!!!!!,wataweza watu milioni 45??????
 
Mchungaji Msigwa nae anajiona anafaa kuongoza nchi!!!?

Kwa lipi ambalo amefanya katika nafasi yake ya ubunge labda ili tupime utendaji wake?

Maana juzi juzi nimetoka Iringa mjini na hali niliyoikuta pale ni mbaya sana, matatizo ya wananchi hayawasilishwi bungeni, sasa sijui serikali itawezaje kutatua kero zao.

Msigwa ni mtu bomu sana, wala hajui kwanini yupo bungeni.
 
Itakua ni Jamhuri ya Vichaa. Then Mchungaji gani anakula ganja kama hana akili nzuri sasa akipiga viroba unadhani inakuaje?
 
Dr Slaa alishawahi kuwa rais! Hahahahahahaha sema nafsi yako inakusuta ila ukweli unaujua kuwa m.kwere kashindwa kuongoza nchi hadi kila mtu anafikiri kuwa rais.

dah watu mna majibu! nimecheka sana
 
Back
Top Bottom