Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Anayetaman kuwa Rais wa watu lazima awe mtu, vinginevyo huku ni kudharauliana!!
Dharau kaleta msigwa kwa kujiona anaweza kuwa rais
Anayetaman kuwa Rais wa watu lazima awe mtu, vinginevyo huku ni kudharauliana!!
Dr.Slaa kafanya urais uwe jambo jepesi sana mpaka Msigwa naye anataka kuwa rais wa Tanzania.
Duh, kila mtu anataka Urais, kweli hii bongoland.
Wana Ukumbi,
Sasa nimethibitisha kuwa CHADEMA ina hali mbaya sana katika kupata mgombea wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Hilo linatokana na kukosa "majembe" ndani ya chama kiasi cha watu wasio na sifa hata za kuwa wabunge (kwa mujibu wa rasimu ya jaji Warioba) nao kuwaza urais.
Mchungaji Msigwa ambae ni mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, ametoa ya moyoni kuwa na yeye ana ndoto za urais kwani ana amini akipewa nafasi hiyo atafanya yale ambayo Watanzania wameyakosa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 tangu uhuru.
Source: Facebook page ya Mchungaji Msigwa.
My take,
Hivi kweli mtu wa aina ya mchungaji Msigwa aliyekimbiwa na waumini kwenye kanisa lake, leo hii ana staili kufikiria kuongoza nchi!? Hii ni ajabu ya mwaka 2014.

Kigezo cha kikatiba cha kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uwe ni raia wa kuzaliwa ndani ya Tanzania. Uwe na umri usiopungua miaka 40, uwe walau na shahada ya chuo kikuu....aliyenavyo yeyote aweza kuingia katika seti ya kinyang'anyiro hicho.
katibu mkuu wa chadema sasa hivi ni padri, anaefuata mchungaji.. kwa hiyo ukatibu mkuu wa chadema ni kwa viongozi wa makanisa tu?
kwani dr slaa ni rais wa awamu ya ngapi? C umtaje mkwele wenu 2 utaeleweka? nyambafuuu,