Msigwa: IGP wa ajabu ivi kumkamata Lissu kwa uchochezi huwa analipotia polisi, ila kusema anatishiwa maisha hawahusiki

hivi huwa kuna ugumu gani kufuata taratibu tulizojiwekea kuripoti matukio kwenye vyombo husika hata kama hatuna imani na vyombo vyetu?

nawaza tu pembeni ya kasha. kuna matendo yanatia shaka kutetea kila kitu.
Mjinga wewe , sasa kwanini wanahangaika kukamata magari wakati LISU hajaripoti polisi ,wamsubir akaripoti basi kama kweli wanafuata sheria zao ,kubwa jinga wewe
 
sina nia ovu kuhoji, zaidi ya maneno ya patrobas ambae wenda sio muhusika, Siro anasema hajafanya hivyo. nilitegemea kuona unanionyesha kafika ili tulaumu in unison.
Kama kaenda kweli, na ushahidi wa yeye kwenda sio kwa ajili ya mambo mengine ila hilo la kufuatiliwa, hapo tunalaumu walinzi wa raia na mali zao. vinginevyo alikosea.


Kwa hiyo unataka TL aweke hapa ushahidi kuwa aliripoti Polisi? Tija yake nini? Itafuta suala la yeye kutaka kuuwawa?
 
Mtu mwenye wasiwasi na maisha yake anawezaje kukubali kudanganywa kuwa adui zake ni polisi na usalama wa taifa? HAPA LISSU ALIONYESHA UDHAIFU WA UELEWA WAKE WA MAMBO YA USALAMA WAKE BINAFSI!

Hivi ccm ina nini? Mbona watu hata kujifunza hawawezi? Hivi Tanzania hakuna watu waliokuwa ccm kindaki ndaki na sasa hivi wanatapatapa? Kwamba wewe hujapigwa risasi kwa kuwa u makini sana? Anyway
 
Msigwa akapimwe akili
Una uhakika na unalolisema au ni matokeo tu ya uwezo mdogo wa kusoma na kuchambua hoja? Mimi nafikiri hujamwelewa Msigwa kwa sababu zozite zile na ni vema ukajitafaka maana yawezeka una matatizo yanayokufanya udhani Msigwa anahitaji kupimwa akili. Check yourself up!

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
 
Hivi ccm ina nini? Mbona watu hata kujifunza hawawezi? Hivi Tanzania hakuna watu waliokuwa ccm kindaki ndaki na sasa hivi wanatapatapa? Kwamba wewe hujapigwa risasi kwa kuwa u makini sana? Anyway


Tundu Lissu aliomba, mbele ya waandishi wa habari, kuwa usalama wa taifa na polisi wasimfuatefuate bali wajali kazi walizotumwa na walipa kodi wa nchi hii, labda kwakuwa aliishahakikishiwa walinzi wa CDM wanamtosha!
KOSA LANGU LIKO WAPI KUWAKILISHA ALICHOSEMA?
 
Polis Jana wamesema wanawafuta waliotekeleza shambulio la Mh Lissu, najiuliza Je wanafanya hivyo baada ya Lissu kuwataarifu kuwa ameshambuliwa au walisikia kutoka vyombo vya Habari au kutokana na minong'ono ya watu, au walipo msikia Lissu akilalamika kufuatiliwa na watu wasiojulikana walimtaka kutoa maelezo juu ya anaowahisi kumfatilia akashindwa kuwapa ushirikiano.!! Kazi IPO MWAKA HUU.
 
kazi ya jeshi la polis ni ulinzi w raia na mali zao. jibu la siro kuhusu lissu limetia aibu jeshi la polis.....
 
Niwambie kitu kimoja. Biblia iko wazi kabisa juu ya matukio yanayoendea hapa nchini. Badala ya kutafuta amani kwa kila mtu sisi tunatafuta kuuana. Na kibaya zaidi sisi hao hao tunajitanabaisha kuwa ni wapenzi na watiifu kwa Mungu . Mara zote huwa ninajiuliza. Je! Huyo Mungu ni yupi? Kama ni yule ninayemtumikia mimi hataki mambo ya namna hiyo unless awe ni mungu yule wa dunia hii. Lkn all in all nijuavyo siku ya mwisho yaja na siku hiyo ni sasa. Tutahukumiwa kwa matendo yetu. Km ni watawala hebu muigeni mfalme Sulemani aliyeomba hekima na maarifa badala ya Roho za wamchukiao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ni mwanasheria kwani hajui taratibu za kisheria?
Hivi uchochezi wake huwa wanausikiaje? Mbona huwa wanaufanyia kazi? Kwanini hilo nalo wasingelifanyia kazi? Akiongea uchochezi mbele ya vyombo vya habari anasikika, lakini akiongea na vyombo vya habari hivyo hivyo kuhusu kutishiwa hasikiki. Nadhani jeshi letu LA POLISI linatakiwa kufanyia kazi hata tetesi ambazo hazijathibitishwa kuliko kusubiri labda MTU aende kituoni kuripoti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu aliomba, mbele ya waandishi wa habari, kuwa usalama wa taifa na polisi wasimfuatefuate bali wajali kazi walizotumwa na walipa kodi wa nchi hii, labda kwakuwa aliishahakikishiwa walinzi wa CDM wanamtosha!
KOSA LANGU LIKO WAPI KUWAKILISHA ALICHOSEMA?
Wewe kwenye maisha yako ya kila siku usalama wa taifa wanakufuata fuata kila uendako? Au wabunge wote wa Tz wanafuatwa fuatwa na vyombo vyeti kila waendako?
 
Wewe kwenye maisha yako ya kila siku usalama wa taifa wanakufuata fuata kila uendako? Au wabunge wote wa Tz wanafuatwa fuatwa na vyombo vyeti kila waendako?


Kama ningekuwa na umashuhuri wa aina anayopenda Tundu Lissu ningefurahi sana kuwa machoni mwa hao mabwana 24/7!
 
Back
Top Bottom