Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
zipi? zitajeWana wa Iringa wanajua kazi tukufu za mh MSIGWA mbunge wa kudumu
zipi? zitajeWana wa Iringa wanajua kazi tukufu za mh MSIGWA mbunge wa kudumu
Anakaa BARIADI afu anakoment nyuzi za IRINGA.Kama haupo iringa shut up....
Kama hakufanya kachaguliwa vpMsigwa kitu gani efanya hapo Iringa? Acha serikali itimize wajibu wake.
Kama Dodoma. Hao hadi tongotongo ziwatoke ni muda, na siku wakitoka kwenye hiyo chupa walimowekwa na ccm patachimbika. Maana wamefanywa mafala miaka nenda rudi.Usemayo ni kweli kabisa na hilo ni Fundisho kwa sehemu zinazo ikumbatia ccm
Ya tosha kusema ni wapumbavuMkuu hao ni wale wenye wivu wa kike
Ni kweli mkuu ogopa mjinga akielewa,mfano ni watu wa mikoa ya kusini walivyo amua kuipiga ccm chiniKama Dodoma. Hao hadi tongotongo ziwatoke ni muda, na siku wakitoka kwenye hiyo chupa walimowekwa na ccm patachimbika. Maana wamefanywa mafala miaka nenda rudi.
Hakuna anayeitaka ccm kwa ss ni maguvu tu yanawasaidia lkn the day ar numbered, hakuna marefu yakakosa mwishoNi kweli mkuu ogopa mjinga akielewa,mfano ni watu wa mikoa ya kusini walivyo amua kuipiga ccm chini
Tena freedom is coming tomorrow no longerUsemayo ni kweli kabisa mkuu ipo siku kwani hata makaburu walikuwa wanajidanganya hivyo hivyo
Ukitaka kujua mungu yupo nasi ktk hilo ukiona majaribu mateso,shida na maumivu jua neema iko mrangoni lkn kwakuwa wenye kiburi wametiwa giza hawayaoni hayo mpaka watakapo anza kutandikwa.Tuombe mungu mkuu
Waulize shetani wenzio utapata jibuHivi huyu sijui msigwa ni mchungaji wa ng'ombe au kondoo??