Hiyo kazi ya utabiri ilishawashinda nyie ccm,muulize wasira atakwambia kilicho mkutaMsigwa huyu ambaye HV juzi alibebwa na mbowe kwenye uchaguzi wa ndani?????
2020 akipata kura 3000 basi hata kama mwakalebela atashinda nitashauri amwachie jimbo kiufupi chadema wabunge hawatazidi Saba
Sio kweli mkuu,Msigwa huyu ambaye HV juzi alibebwa na mbowe kwenye uchaguzi wa ndani?????
2020 akipata kura 3000 basi hata kama mwakalebela atashinda nitashauri amwachie jimbo kiufupi chadema wabunge hawatazidi Saba
yeye msigwa amefanya nini? wenzake wamepaka shule rangiKivipi mkuu hadi una ihukumu thread hii ki hivyo?
Hachana nao hao wazee wa pangu pakavuKivipi mkuu hadi una ihukumu thread hii ki hivyo?
Ni wa Kumpuuza tuNi kweli kabisa mkuu huyu jamaa badala atulie huko aliko kimbilia anaanza kukosoa thread za watu na kujiona yeye ndiye mwenye uelewa pekee
Hilo jambo ndio linawafanya wana ccm kulala na viatu kila sikuMsigwa noma mwanzo alipishana kura chache na mama Mbega mwaka 2010 kama elfu 1 na akawa na diwani 1
Mwaka 2015 kamzidi Mwakalebela kwa kura zaidi ya elfu 10 na kapata madiwani 14 kati ya 18 ikapelekea kupata meya na naibu wake wa CHADEMA acha awapeleke mchaka mchaka
yeye msigwa amefanya nini? wenzake wamepaka shule rangi
cha kushangaza unaandika nonsense
hapo msigwa hajahamasisha kitu ...hiyo ni mipango ya serikali kuu...wenzake wanahamasishana na kufanya kazi...yeye amefanya nn?