OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Hahaaa alikuwa anamtafutaAfadhali umeonekana mkuu, nkajua umepotea kama b...
Hahaaa alikuwa anamtafutaAfadhali umeonekana mkuu, nkajua umepotea kama b...
CCM wakisikia jina Msigwa matumbo ya kuhara yanawashikaHongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.
Sasa ni takribani wiki ya pili viongozi wa CCM wanashinda mitaani wakipaka rangi shule za msingi bila kupenda wakiwa na lengo la kutafuta ushawishi toka kwa wana Iringa bila mafanikio.
Hongereni wana wa Iringa kwa kukataa kudanganyika, mbunge wa kweli ni yule anayewajali wapiga kura wake na siyo kipindi cha kutafuta kuungwa mkono.
hata shetani huwa anatafuta 'mvuto kwa wanadamu' ili awagilibu na baadae awapoteze na kuangamizwaWanatafuta mvuto hao maCCM lakini wananchi wanajua janja yao.
List of Shame kwa nini imetolewa kwenye Tovuti ya CDM? Mnamuogopa Bwana yule mliyemtangaza kwa miaka 8? teh,teh,teh!Hakuna wanafiki kama ccm
Ninyi si ndio mlisema mna ushahidi wa kutosha kwenye majukwaa? Haya mfikisheni Mahakamani na sasa yuko kwenu!!Tunasubiri mumfikishe mahakamani
km wanavyo mhaha Lema, Lisu nkKweli kabisa mkuu wana ccm Iringa hawatokaa wamsahau Msigwa
Pelekeni ushahidi mlionao kwenye vyombo vya Sheria hatua zichukuliwe au mnakaa nao wa nini? Ebo kumbe mlikuwa mnadanganya watu?Naona umekosa cha kuongea kama hujui ni nani ana mamlaka ya kukamata na kushitaki
Serikali ipi inatimiza wajibu gani hapa Iringa katika hoja iliyoletwa hapa?Msigwa kitu gani efanya hapo Iringa? Acha serikali itimize wajibu wake.
Unaidanganya akili yako mwenyewe!Hongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.
Sasa ni takribani wiki ya pili viongozi wa CCM wanashinda mitaani wakipaka rangi shule za msingi bila kupenda wakiwa na lengo la kutafuta ushawishi toka kwa wana Iringa bila mafanikio.
Hongereni wana wa Iringa kwa kukataa kudanganyika, mbunge wa kweli ni yule anayewajali wapiga kura wake na siyo kipindi cha kutafuta kuungwa mkono.
Nyumbu Wa Lumumba upoooSasa hapo kawachezesha kwata gani?
We kijana acha viroba,punguza stress,piga kazi. Hao wanaopiga rangi wanatimiza wajibu wao.....wewe soon maisha yatakupigisha kwata la kimyakimya