Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

Hongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.

hUYO NDie mchungaji Msigwa akipozi na .........................

_DSC8604.JPG
 
Ukitaka kujua mungu yupo nasi ktk hilo ukiona majaribu mateso,shida na maumivu jua neema iko mrangoni lkn kwakuwa wenye kiburi wametiwa giza hawayaoni hayo mpaka watakapo anza kutandikwa.
Wanashi kwa kutegmea nguvu za giza lkn mungu ni mkubwa na wa wote
 
wananch wa iringa wakimwangusha msigwa basi wakapimwe akil zao,huyu jamaa anasimamia sana maendeleo ya wananch ingawa kunabaaz ya maeneo wanamwangusha,mfano huduma za afya ukienda pale hospital madokta na manes muda mwing wako bize sana isipokuwa kitengo cha wad ya wazaz,pale manes na dokta wa wanawake yule jamaa anastahl pongez ikiwezekana angetuzwa kwa kaz nzr anayoifanya! hongera daktar wa wanawake ho flelimo make wamama wanakusif sana hasa kwa huduma ya opareshen.
 
Back
Top Bottom