Msigwa atoboa siri

Msigwa atoboa siri

Asante na hongera Mch. Msigwa Mungu akulinde na kukutetea..
Tulishasema mtu yeyote anayefuata imani ya dini yake kikamilifu..HAWEZI KUNYAMAZIA HUU UJINGA UNAOFANYIKA WA GENGE LA WATU WACHACHE KUJIVIKA JOHO LA CCM ILI KUTAWALA KWA MANUFAA YAO..Hakuna shaka kuna muunganiko wa tiss na jeshi ndani ya hili genge..polisi na hao wengine wanatumikia hili genge..ndio maana ili kulinda jambo hili lisifahamike sasa hivi kuna NEPOTISM ya kiwango cha juu sana ndani ya ccm bandia na ndani ya serikali..waasisi wa hili genge ni KIKWETE na rafiki zake..
Wito..kwa wale waliomo ndani ya genge hili au hata wanafahamu na wanahusika kwa njia moja ama nyingine na genge hili ambao wanafuata imani za dini zao kikamilifu..kataeni kuwa sehemu ya DHAMBI HII..mshahara wa dhambi hii km utainyamazia ni MAUTI, mifano ipo..tena ya hivi karibuni..kina Lukuvi hawa.. ninaamini kabisa Nchimbi AMEKATAA kuwa sehemu ya dhambi hii!
Watanzania wote tuungane kujikomboa kutoka kwenye hili genge..hakuna mtu/watu watatokea kutupigania, hili si jukumu la Lissu, au Heche au chadema peke yao..! Ni jukumu la watanzania wote wanaoamini genge hili liko kinyume cha katiba ili kututawala kimabavu kwa maslahi yao..Hii ni vita, unaweza kulifananisha genge hili na lile kundi la MANAZI baada ya vita vya pili vya dunia..wale former ALLIES wa Hitler waliunda kundi lao KUJILINDA..waliweza kuwanunua wanasiasa, lawyers, wanahabari, viongozi wa dini nk na walikuwa na pesa nyingi...za kumnunua mtu yeyote..ukisoma kitabu cha THE ODESSA FILE utafahamu malengo na vile kundi hili lilikuwa lina-operate..sasa Tanzania nayo imetekwa na genge linalo-operate gizani! Nchi ina vita ngumu ya ndani kwa ndani..kina katuga hawa, makampuni haya ya simu nk yanamilikiwa na genge hili, maDC, maRC wote ni watiifu kwa hili genge..
Asante Mch. Msigwa kwa kufanya sehemu yako! ili mwenye masikio ya kusikia ASIKIE!
 
Huyo naye snitch tu wamemnyima teuzi kaanza kuwaponda mbona alienda kuwajoin? Matraco yake..!!
..fikiri tena haya uliyoandika, ukiacha Polepole na sasa Nchimbi, nani mwingine ametoka kutofautiana na hawa anaowasema Mch. Msigwa..? Nchimbi si alikuwa VP hata km ni haramu, yeye utasema alikosa nini akaamua kutofautiana nao..au Polepole alikosa nini..usidhani ni kitu chepesi, unless akili yako haina uwezi wa kudigest mambo kwa upana..
 
..si wote wanafikiri km wewe kwamba upo hapa duniani kwa ajili ya kula..nadhani umesikia taarifa za chivayo..
Kwani Chivayo amekuwa malaika kiasi kwamba hawezi kufa? Tunarudi pale pale kwenye hoja ya msingi: kama Msigwa angepata uteuzi kama wenzake Katambi au Ambrose Lijualikali, huenda tusingemsikia akisema lolote baya. Hivyo, ni muhimu kutazama suala hili kwa mtazamo mpana zaidi na kujiuliza kama msimamo wake unatokana na misingi ya hoja au mazingira ya kisiasa aliyopo.
 
Unaweza tafsiri hivyo, watu wanaojua falsafa ya forces of power..kila jambo linatokea kwa msukumo unaoonekana au usioonekana, kwa hiyo inawezekana Mch. Msigwa alikwenda huko ili later aje kukuambia taarifa hizi anazokupa, sabb bila yeye usingejua lolote..pima content ya anachosema badala ya kuangalia vitu vyepesi km uteuzi au pesa..si wote wako hivyo.
 
Nakumbuka kusoma yake humu miaka hiyooooooo.. Sura kabadilika.. Kakua au kashibaaa? Nimesahau ni kama alihama akasema mengiiiii ya wengine hivi hivi 😀

Hii ya lini?
Na amekaa huko miaka yote hiyooooooonna hakutoka alipoingia..

Eti mateka, hivyo yeye ndio sasa nae kaogopa kuwa mateka.. Mmmmmh
 
..si wote wanafikiri km wewe kwamba upo hapa duniani kwa ajili ya kula..nadhani umesikia taarifa za chivayo..
Ndio nimesikia. Inhusiana vipi na msigwa aliye jribu kwenda kutafuta ulaji baada ya kukosa akajifanya dhamiri ina msuta?
 
Ndio nimesikia. Inhusiana vipi na msigwa aliye jribu kwenda kutafuta ulaji baada ya kukosa akajifanya dhamiri ina msuta?
..other people, they know their mission while in this world, na kwa hivi unavyosema sidhani unafahamu upo hapa kwa nini..km umeridhika upo hapa ili kula its ok..go on.
 
..fikiri tena haya uliyoandika, ukiacha Polepole na sasa Nchimbi, nani mwingine ametoka kutofautiana na hawa anaowasema Mch. Msigwa..? Nchimbi si alikuwa VP hata km ni haramu, yeye utasema alikosa nini akaamua kutofautiana nao..au Polepole alikosa nini..usidhani ni kitu chepesi, unless akili yako haina uwezi wa kudigest mambo kwa upana..
Kwanini hakuyasema alipokua veggies?
Wewe unahisi angepewa teuzi huko angerudi Chadema na kuongea hayo?

Wewe inaonyesha ni mgeni na Msigwa
 
Ulipoenda Ccm uliyasema yote ya Chadema, umerudi Chadema unayasema ya Ccm… Huna msimamo, ni mbea mbea tu na mnafiki wakifika dau unaenda tena kuyasema ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom