Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,794
- 8,430
Watu wamejisahaulisha alipoenda Ccm akasema Chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe.Kwanini hakuyasema alipokua veggies?
Wewe unahisi angepewa teuzi huko angerudi Chadema na kuongea hayo?
Wewe inaonyesha ni mgeni na Msigwa