Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 506
- 487
👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida.
👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa kwa subira, ukaribu na kuaminika kabla ya hatua halisi kuonekana.
👉Alijijenga kama sauti ya upinzani yenye ushawishi mkubwa, akawa karibu na siri za ndani, mikakati na misimamo ya kisiasa ambayo watu wa kawaida hawakuweza kuifikia kirahisi.
👉Baadaye alipohamia CCM, baadhi ya wachambuzi wa duru za siasa walitafsiri hatua hiyo kama uthibitisho wa kile walichokuwa wakikihofia kwa muda mrefu kuwa mchezo ulikuwa ukichezwa kwa umakini mkubwa nyuma ya pazia.
👉Sasa taarifa za kurejea tena CHADEMA zimezua taharuki mpya kisiasa, huku wengine wakiamini kuwa operesheni za kisiasa hazifi bali hubadilisha njia, nyuso na mbinu za kuendelea kuishi ndani ya mfumo.
👉Katika ulimwengu wa siasa za siri, si kila anayebadilisha bendera hubadilisha utii wake, wengine hubaki kuwa watu wa mfumo ule ule, wakisubiri muda sahihi wa kutekeleza hatua inayofuata✍️
Dr. Zack ✍️
Moja ya sababu Kuu ambayo Mchungaji Peter Msigwa ameitaja kupelekea kuondoka kwake ndani ya CCM anasema ni matukio ya Oct 29,2025.HAUWEZI kubishana na Mdomo wake lakini ukweli anaujua yeye mwenyewe.
Hata nyakati zile alipokuwa anatoka Chadema kuja CCM mwaka jana baada ya kukosa Cheo cha Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa dhidi ya SUGU,Peter Msigwa tena hakuwa mkweli mbele ya Umma ALIDANGANYA KAMA ANAVYODANGANYA SASA.
Ni miezi kama SABA HIVI TANGU Oct 29,2025 mpaka sasa May 24,2026 lakini Mchungaji Peter Msigwa akaendelea kusikilizia muda wote huu wa miezi saba akiendelea kula mshahara na posho pale Ofisi ya ITIKADI NA UENEZI kwa ndugu yangu KINANI KIHONGOSI.
YAPO MAMBO MAKUBWA MATATU HIVI AMBAYO YANAMUONDOA LEO CHAMA CHA MAPINDUZI.
I.MATARAJIO ya kupata CHEO/UTEUZI ndani ya Chama na Serikali hayapo tena.Hesabu za Mchungaji zilikuwa cleary kabisa kwani aliamini kuwa ujio wake ndani ya CCM ungempa uteuzi kama.ilivyokuws kwa wanachadema wengine ambao walikuja ndani ya Chama na kupata teuzi.
Kumbuka kuwa Msigwa angepata CHEO cha Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa asingekuja CCM kamwe kwahiyo Msigwa alikuja CCM kwa hasira na bahati nzuri CCM walilijua hilo.
II.Kuundwa kwa TUME-JINAI kutokana na Matukio ya Oct 29
Kama.una akili nzuri ni rahisi kujua kuwa Msigwa alikuja CCM kwa missions kuu mbili hizi hapa(I)kutafuta Cheo na kuikomoa Chadema lakini bado moyo wake ulikuwa Chadema,CCM walikuwa wanafahamu hilo haswa.
Pili(II)Msigwa alikuja Chadema kufanya UKACHERO wa Kisiasa then badae arudi Chadema.Ni kwamba pamoja na kuwekwa idara ya Uenezi,Msigwa alikuwa chini ya "ukachero" mkubwa wa CCM akisomwa nyendo zake usiku mchana asubuhi.
Mchungaji inawezekana sana alikuwa sehemu ya Mpango wa NO REFORMS NO ELECTION ambao ndio ulizaa matukio ya Oct 29.
Ilibidi atafutwe mtu wa kumwingiza ndani ya mifumo ya CCM kuweza kuratibu mipango hiyo ya Chadema akiwa ndani ya CCM.KUMBUKA TUNDU lissu na Msigwa ni damu damu.Inawezekana sana Tundu Lissu alitaka kumtumia Peter Msigwa kutekeleza waliyotekeleza Oct 29.
USIJE ukashangaa Peter Msigwa akija kutajwa kwenye REPOTI YA TUME JINAI na kutiwa nguvuni mbeleni.Njia pekee sasa ni kuondoka CCM na kwenda kuungana na wana Oct 29 wenzake huko Chadema.
III.Sababu ya Tatu kubwa ni URAFIKI uliopo wa kufa na kuzikana wa ndugu Tundu Lissu na Mchungaji Peter Msigwa ambao unamfanya MSIGWA AJIONE NI MSALITI mbele ya jamaa yake Tundu kwa kuendelea kula mshahara wa CCM pale Dodoma.
Mtarajiio ya Msigwa yalikuwa ni kwamba uenda SERIKALI mbeleni ingemtema(Gerezani) Tundu Lissu baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika lakini anaona Serikali(Mahakama) IMEKAZA.HAINA MCHEZO KABISA NA ISHU YA LISSU.
JAPO watu wengi wanataka kuaminishwa kwamba Tundu Lissu yupo Magereza Ukonga KISIASA lakini ukweli unabaki kuwa jamaa ameshiriki kwa 70% kuratibu yale ya Oct 29 hata akiwa huko huko mahabusu..
Hii sio ishu kabisa kwani hata Muuza madawa ya kulevya wa MeXICO Olechampo aliweza kuratibu biashara zake za kuuza dawa za kulevya hata alipokuwa gerezani na baade akafanikiwa kutoroshwa na kundi lake hatari.
Tundu Lissu ni wazi alikuwa na mkono wake mkubwa tu kwenye Oct 29,niaminini.
Kama mnabisha nadhani tusubilie majibu ya Tume- Jinai,itasema ukweli kuhusu haya nisemayo.
Infact,Oct 29 kulikuwa na elements zote za UHAINI/MAPINDUZI NA BAHATI MBAYA SANA wapo hata wanaccm wanatajwa nao kushiriki kuwezesha matukio yale ya hovyo.
Ila tu cha kushangaza hata report ya Tume JINAI ambayo itakuja na purely ushahidi nayo wataipinga tena kwa nguvu kubwa zaidi.NASUBILIA KUONA WATAWEZAJE KUPINGA FACTS?,HUU ni Uchunguzi wa KIJAJI na sio bla bla tena.
Katika mazingira kama hayo Msigwa anabakije CCM?
Kitendo chake cha kutangaza kurejea CHADEMA miezi michache tu baada ya kukimbilia CCM ni dhihirisho la juu kabisa la kufilisika kisiasa na kupoteza utu kwa ajili ya kusaka tonge la chakula na nafasi za madaraka.
Kumbukumbu za mtandao zinasimama kama hakimu mkuu wa usaliti wake wa maneno ambapo hata miaka miwili haijapita tangu atangaze hadharani kwenye vyombo vya habari kuwa alipokuwa CHADEMA alikuwa "mjinga."
Leo hii anaporudi kwa hiari yake mwenyewe na kuomba msamaha ili arejee CHADEMA kwenye kile alichokiita ujinga anathibitisha mbele ya jamii kuwa ama alikuwa muongo mkubwa wakati huo au kwa sasa amekubali rasmi kuwa yeye ndiye mjinga mkuu aliyepindukia.
Msigwa anaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mwanasiasa aliyetumia muda wake wote hivi karibuni akipiga magoti na kusubiri teuzi za ukuu wa mkoa au ukuu wa wilaya ndani ya serikali na baada ya kuona mfumo umemkataa na kumuona hana thamani yoyote ya kiutendaji, ameamua kurudi CHADEMA kama mfa maji.
Huu ni ushahidi usiopingika kuwa siasa zake hazijawahi kulenga kuwatumikia wananchi wa Iringa Mjini au Watanzania bali zililenga tumbo lake na kupigania maslahi yake binafsi.
Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa taaluma yake ya uchungaji na uongozi kwani anaonyesha jinsi gani mdomo wake unavyoweza kusema jambo hili asubuhi na kusema jingine kabisa jioni kulingana na upepo wa maslahi unavyovuma.
Amekuwa mwanasiasa asiyeaminika, anayeendeshwa na tamaa ya vyeo na ambaye yuko tayari kujidhalilisha mbele ya mamilioni ya Watanzania ili mradi tu abaki kwenye midomo ya watu kupitia jukwaa la CHADEMA.
Msigwa lazima aambiwe ukweli kuwa mtaji wake wa kisiasa umekufa na uaminifu wake mbele ya jamii umefika kikomo kabisa.
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayejishughulisha kusikiliza neno lolote litakalotoka kinywani mwake.
Kuanzia sasa akiwa CHADEMA kwa sababu amethibitisha kuwa yeye ni bendera kufuata upepo hana itikadi na ni mwanasiasa wa msimu ambaye yuko tayari kuuza utu, misingi na maneno yake yote ya nyuma.
👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa kwa subira, ukaribu na kuaminika kabla ya hatua halisi kuonekana.
👉Alijijenga kama sauti ya upinzani yenye ushawishi mkubwa, akawa karibu na siri za ndani, mikakati na misimamo ya kisiasa ambayo watu wa kawaida hawakuweza kuifikia kirahisi.
👉Baadaye alipohamia CCM, baadhi ya wachambuzi wa duru za siasa walitafsiri hatua hiyo kama uthibitisho wa kile walichokuwa wakikihofia kwa muda mrefu kuwa mchezo ulikuwa ukichezwa kwa umakini mkubwa nyuma ya pazia.
👉Sasa taarifa za kurejea tena CHADEMA zimezua taharuki mpya kisiasa, huku wengine wakiamini kuwa operesheni za kisiasa hazifi bali hubadilisha njia, nyuso na mbinu za kuendelea kuishi ndani ya mfumo.
👉Katika ulimwengu wa siasa za siri, si kila anayebadilisha bendera hubadilisha utii wake, wengine hubaki kuwa watu wa mfumo ule ule, wakisubiri muda sahihi wa kutekeleza hatua inayofuata✍️
Dr. Zack ✍️
Soma pia Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
KUONDOKA KWA MCHUNGAJI MSIGWA CCM NI OCT 29 KWELI?
Na Dr.Zack✍️Moja ya sababu Kuu ambayo Mchungaji Peter Msigwa ameitaja kupelekea kuondoka kwake ndani ya CCM anasema ni matukio ya Oct 29,2025.HAUWEZI kubishana na Mdomo wake lakini ukweli anaujua yeye mwenyewe.
Hata nyakati zile alipokuwa anatoka Chadema kuja CCM mwaka jana baada ya kukosa Cheo cha Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa dhidi ya SUGU,Peter Msigwa tena hakuwa mkweli mbele ya Umma ALIDANGANYA KAMA ANAVYODANGANYA SASA.
Ni miezi kama SABA HIVI TANGU Oct 29,2025 mpaka sasa May 24,2026 lakini Mchungaji Peter Msigwa akaendelea kusikilizia muda wote huu wa miezi saba akiendelea kula mshahara na posho pale Ofisi ya ITIKADI NA UENEZI kwa ndugu yangu KINANI KIHONGOSI.
YAPO MAMBO MAKUBWA MATATU HIVI AMBAYO YANAMUONDOA LEO CHAMA CHA MAPINDUZI.
I.MATARAJIO ya kupata CHEO/UTEUZI ndani ya Chama na Serikali hayapo tena.Hesabu za Mchungaji zilikuwa cleary kabisa kwani aliamini kuwa ujio wake ndani ya CCM ungempa uteuzi kama.ilivyokuws kwa wanachadema wengine ambao walikuja ndani ya Chama na kupata teuzi.
Kumbuka kuwa Msigwa angepata CHEO cha Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa asingekuja CCM kamwe kwahiyo Msigwa alikuja CCM kwa hasira na bahati nzuri CCM walilijua hilo.
II.Kuundwa kwa TUME-JINAI kutokana na Matukio ya Oct 29
Kama.una akili nzuri ni rahisi kujua kuwa Msigwa alikuja CCM kwa missions kuu mbili hizi hapa(I)kutafuta Cheo na kuikomoa Chadema lakini bado moyo wake ulikuwa Chadema,CCM walikuwa wanafahamu hilo haswa.
Pili(II)Msigwa alikuja Chadema kufanya UKACHERO wa Kisiasa then badae arudi Chadema.Ni kwamba pamoja na kuwekwa idara ya Uenezi,Msigwa alikuwa chini ya "ukachero" mkubwa wa CCM akisomwa nyendo zake usiku mchana asubuhi.
Mchungaji inawezekana sana alikuwa sehemu ya Mpango wa NO REFORMS NO ELECTION ambao ndio ulizaa matukio ya Oct 29.
Ilibidi atafutwe mtu wa kumwingiza ndani ya mifumo ya CCM kuweza kuratibu mipango hiyo ya Chadema akiwa ndani ya CCM.KUMBUKA TUNDU lissu na Msigwa ni damu damu.Inawezekana sana Tundu Lissu alitaka kumtumia Peter Msigwa kutekeleza waliyotekeleza Oct 29.
USIJE ukashangaa Peter Msigwa akija kutajwa kwenye REPOTI YA TUME JINAI na kutiwa nguvuni mbeleni.Njia pekee sasa ni kuondoka CCM na kwenda kuungana na wana Oct 29 wenzake huko Chadema.
III.Sababu ya Tatu kubwa ni URAFIKI uliopo wa kufa na kuzikana wa ndugu Tundu Lissu na Mchungaji Peter Msigwa ambao unamfanya MSIGWA AJIONE NI MSALITI mbele ya jamaa yake Tundu kwa kuendelea kula mshahara wa CCM pale Dodoma.
Mtarajiio ya Msigwa yalikuwa ni kwamba uenda SERIKALI mbeleni ingemtema(Gerezani) Tundu Lissu baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika lakini anaona Serikali(Mahakama) IMEKAZA.HAINA MCHEZO KABISA NA ISHU YA LISSU.
JAPO watu wengi wanataka kuaminishwa kwamba Tundu Lissu yupo Magereza Ukonga KISIASA lakini ukweli unabaki kuwa jamaa ameshiriki kwa 70% kuratibu yale ya Oct 29 hata akiwa huko huko mahabusu..
Hii sio ishu kabisa kwani hata Muuza madawa ya kulevya wa MeXICO Olechampo aliweza kuratibu biashara zake za kuuza dawa za kulevya hata alipokuwa gerezani na baade akafanikiwa kutoroshwa na kundi lake hatari.
Tundu Lissu ni wazi alikuwa na mkono wake mkubwa tu kwenye Oct 29,niaminini.
Kama mnabisha nadhani tusubilie majibu ya Tume- Jinai,itasema ukweli kuhusu haya nisemayo.
Infact,Oct 29 kulikuwa na elements zote za UHAINI/MAPINDUZI NA BAHATI MBAYA SANA wapo hata wanaccm wanatajwa nao kushiriki kuwezesha matukio yale ya hovyo.
Ila tu cha kushangaza hata report ya Tume JINAI ambayo itakuja na purely ushahidi nayo wataipinga tena kwa nguvu kubwa zaidi.NASUBILIA KUONA WATAWEZAJE KUPINGA FACTS?,HUU ni Uchunguzi wa KIJAJI na sio bla bla tena.
Katika mazingira kama hayo Msigwa anabakije CCM?
Msigwa Arudi CHADEMA: Msimamo Wapi?
Mchungaji Peter Msigwa ameweka rekodi ya kihistoria ya kuwa mwanasiasa anayeongoza kwa kukosekana kwa misingi, adabu na msimamo nchini Tanzania.Kitendo chake cha kutangaza kurejea CHADEMA miezi michache tu baada ya kukimbilia CCM ni dhihirisho la juu kabisa la kufilisika kisiasa na kupoteza utu kwa ajili ya kusaka tonge la chakula na nafasi za madaraka.