Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Umewachoka wenyewe wana CDM...unao leo umewasemea mtu wao!lkn ingekua yupo katika itikadi nyingine wote hao wangempaka matope kwa kejeli wala usingemjua.
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Umewachokoza wenyewe wana CDM...unao leo umewasemea mtu wao!lkn ingekua yupo katika itikadi nyingine wote hao wangempaka matope kwa kejeli wala usingemjua.
 
we ni pimbi msigwa unamlinganisha na mizigo yenu hiyo mawaziri wenye mtindio
 
Uchungaji hawasomewi wenyewe unaota kama uyoga tu, kuna mmoja amehama kutoka uislamu ameenda kule ni tayari ameshakua mchungaji. ili kupata umaarufu anajiita shekhe, anapiga pesa zake tu.
 
Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza nini
Kupitia chama gani??? huko CCM huwezi kupitishwa kugombea na kwakuwa hujafika Iringa muda mrefu hujui nguvu za msigwa alizonazo Iringa. Mgombea mtarajiwa wa ccm iringa ni Jesca(M/kiti wa mkoa) hata hivyo anayo kazi kubwa ya kufanya ingawa inaonekana anaushawishi mkubwa kwa wanawake na vijana...Msigwa alishasema hayupo tayari kulipoteza jimbo kizembe. Kuwa makini!!!
 
Wewe unayeuliza swali hili u dini gan mpska hujui wachungaji wanapatikanaje na hizo habar za msigwa kushushain na kuuza kiosk hujui ndo miongoni mwa njia za utafutaji hapa bongo jipange au unalelewa na mamako hujui kutafuta
 
wewe una matatizo ya akili kabisa huwezi kujua cheo au kitu alichonacho mtu kwa mtazamo wa nje huonao wewe hivyo hebu angalia kitu gani waweza kupost kwa umakini hap
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
Mchungaji wa punda watu hawakuelewa tu,chadema wanazoa zoa tu mara kuwachukuwa watoa tigo(lema)wazinifu wa wake za watu(slaa)wazinzi,wapenda starehe za dubai,wang'ang'ania uwenyekiti kwa nguvu,mbaguzi wa ukabila na dini,mwizi mla pesa za chama(mbowe)wasagaji(mdee)wavuta bangi na wezi wa vidani vya wavunge bungeni,kwa hiyo usiwashangae wachungaji na mapadri
 
Umemalizaaa kabisa,sina la nyongeza
 
Binafsi nilishangaa sana kuona mtu kujiita mchungaji wakati matendo yake ni utata mtupu tena kabla hata ya kuupata ubunge.mfano mchungaji alisha wahi kupanga nyumba ya bibi mmoja mitaa ya gangilonga na hakulipa kodi muda mrefu na alitoka kwa amri ya mahakama .hata hivyo aling'oa mlango na kuacha gofu ile nyumba. Nashangaa baadhi ya wana jf wanapomtetea ,wengi u-cdm unawasumbua kama hamfahamu kaeni kimya .
 
Mjinga akikuliza swali la kijinga mwelevu mjibu kwa busara na akili, Uchungaji si wa kusomea bali wenye kusoma husoma theologia, Makanisa yetu mengi hapa Tanzania hayana wachungaji wa kusomea bali karama waliyopewa na Mungu tu. na ndio maana siku hizi wapo hata Maaskofu Madaktari hawakusomea Uchungaji.Uchungaji ni kuchunga Kondoo wa Bwana.
 
Mchungaji wa punda watu hawakuelewa tu,chadema wanazoa zoa tu mara kuwachukuwa watoa tigo(lema)wazinifu wa wake za watu(slaa)wazinzi,wapenda starehe za dubai,wang'ang'ania uwenyekiti kwa nguvu,mbaguzi wa ukabila na dini,mwizi mla pesa za chama(mbowe)wasagaji(mdee)wavuta bangi na wezi wa vidani vya wavunge bungeni,kwa hiyo usiwashangae wachungaji na mapadri

chakavu follower at work
 
Waliompa Uchungaji ndio walewale waliokupa wewe USHUSHUSHU.
 
Sasa kwa kuwa aling'oa mlango inamfanya asiwe Mchungaji????
Au kwa kuwa alitolewa kwenye nyumba na mahakama maana yake yeye sio mchungaji??
Unachosema ni nini Hasa??????

Binafsi nilishangaa sana kuona mtu kujiita mchungaji wakati matendo yake ni utata mtupu tena kabla hata ya kuupata ubunge.mfano mchungaji alisha wahi kupanga nyumba ya bibi mmoja mitaa ya gangilonga na hakulipa kodi muda mrefu na alitoka kwa amri ya mahakama .hata hivyo aling'oa mlango na kuacha gofu ile nyumba. Nashangaa baadhi ya wana jf wanapomtetea ,wengi u-cdm unawasumbua kama hamfahamu kaeni kimya .
 
Lukosi wewe umesomea wapi Shipping Career??
Ni kwa nini huna soni Chris??
Huna haya hata kidogo
Chris acha kufikiri kutumia makalio/ emotions

Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
1240627_564581813589136_551804437_n.jpg

graduation day

1234896_565030846877566_1888764154_n.jpg

siku ya mahafali nilipo maliza degree

topic closed!
 
Mkuu I like ur comment!

Kuosha viatu sio kazi ama kiuza genge sio kazi? We Lukosi usidharau kazi za watu ---- wewe kuna watu wanaishi town kwa kazi hizo hizo! We ni backpacker uko nini?

Mkuu huyu jamaa umri wake na comment zake vitu viwili tofauti kabisa, kama ana watoto sijui hata huwa anawafundisha nini au wana akili gani, au ndo huko kujikomba sijui? inashangza sana kuwa watu wazima wanaweza kuwa na akili za kijinga kiasi hicho, alafu cha ajabu anatumia jina lake halisi sijui ndio verified user au nini!...

Nsha kugongea like mkuu...
 
Back
Top Bottom