Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,947
- Thread starter
- #101
Kwenye msiba wako mkuuWewe umejifunzia wapi kula rambi rambi?
Kwenye msiba wako mkuuWewe umejifunzia wapi kula rambi rambi?
Kwenye msiba wako mkuu
Kwenye msiba wako mkuu
Mhe.Sitta aliwahi kusema. Alikuwa akijua kuwa Msigwa ni mchungaji kumbe ni muhuni wa kawaida tu.
Kama alivyo muhuni Mchungaj Lwakatare......
Wee mbulumundu mimi ni ex cop na kabla sijapanda ndege lazima nizijue sura zilizokaa karibu nami
Wakati nakwenda ndege ilikuwa na watu saba na wakati wa kurudi abiria tulikuwa wawili wanaume na mtoto mdogop wa miaka mitano mmoja jumla watatu tu na rubani wa nne
Sasa sijui kama wewe ndio yule aliekuwa kapakatwa na mama yake akilia njia nzima wakati tunakwenda kwa sababu kanyimwa embe au yule aliekuwa akinirembulia macho
Hawa watukufu walisomeshwa kupitia ROHO MTAKATIFU na kwa waislamu wanasema MALAIKA JIBIR. Sasa huyu muhuni Msingwa naweza kushukiwa na Roho mtakatifu au Malaika Jibir ambaye kwa sasa hashuki tena ameshamaliza kazi yake. Kijana chunga sana usiwalinganishe watukufu na muhuni.
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!