SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Uchungaji hausomewi popote. Mchangaji ni wakili wa Mungu, anafundishwa na aliyemuita. Wachungaji wa mshahara ndo wanapitia vyuoni ili wapate hekima ya kuwaongoza watu.
Msigwa Kumbe alikuwa Shoe shiner?
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!

mse nge wewe nan alikuambia uchangaji lazima usomee, hujui kuwa ni God indpirational kwa watu wakw na ni talent? mku ndu wewe
Nadhani ukijua nilikuwa nafanya nini hapo basi utajua nani bora
ulikuwa unakusanya taka
Ulisafiri na mimi au uliniona tu nikipita airport?
Chris Lukosi umeshalipata gari lako?
Lukosi muogope Mungu na uheshimu kazi za watu. kwa taarifa yako yote uliyoyataja ni shhghuli halali ambazo kwazo watu hujipatia mkate wao wa siku.
Chunga mdomo wako, nina hakika wapo pia jamaa zako wa karibu au mbali wanafanya shughuli hizo.
no wonder you are branded 'kubwa jinga.'
Hoja hasa ni ipi hapo????
Jamani si angejibiwa tu, matusi ya nini?