Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Subiri 2015 mkapimane Jimboni au utaenda kwa dhaifu Mgimwa Kalenga?
 
Nyela Lukosi, kila wakati unaanzisha thread za ajabu ajabu ila majibu unayoyapata yamefanya siku yangu iwe nzuri haaa haaa haaaa!!!!!
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
Nadhani wewe unahaki 100% kwenda Milembe kupimwa, What you have posted mean zero to your time spent!.
 
ndugu zanguni,

kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

jitambue!

hatutaki uchungaji wa msigwa,,sisi tunataka kazi zake za kibunge ambazo zinawatia joto ccm,,,kuhusu uchungaji kawaaulize waumini wake,,,na kubwa zaidi pia muulize yesu alisomea wapi huo uchungaji? Acha hoja za kipuuzi,,,sasa tunajadili operesheni tokomeza.
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Mimi nadhani ungelikuja kumuuliza yeye au mama Spika au Ndagai wanamtambua maana ndio viongozi wako wa chama,by the way unachofanya umesomea wapi? na umetoa pole msiba wa Mwanza. Marry x-mas
 
Kwa
hiyo kila anaesomea mambo ya dini automatic anakuwa mchungaji?

Hebu tuwe wakweli hapa. unataka kutuambia wanafunzi wote waliopita seminari ni mapadre?

Uchungaji wa Msigwa ni wa kujibambikiza tu, sijawahi kuona mchungaji akichochea vurugu siku ya kumuabudu Mungu

Nakumbuka jumapili moja mchungaji alikacha kwenda kanisani akaenda pale barabara mbili kuchochea vurugu kwa wamachinga,. matokeo yake polisi wakapiga mbata kichogo na kumsweka rumande

kwa hy uliuliza swali ambalo una majibu yake? unataka kujua mch msigwa amesoma wapi umeelekezwa sasa kubali jibu kwanza ndio uje na hoja nyingine,
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Mi namfahamu kama mbunge makini anayetaka Pinda na waliopinda wajiuzuru. Kiroho Shekhe ananitosha yahe..
 
nawe weka elimu yako ya shunguli hii uliipata wapi?
mzee-wa-kazi-chris-lukosi-akiwajibika.jpg
jibu na wewe hii kazi ya kuchungulia mizigo ya watu uliisomea wapi
 
Jiulize Yesu na Mohamed walisomea wapi ulimu.
Astaghafiruallah! unawafananisha hawa Watukufu na huyu muhuni ama kweli "kukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni" kafanye toba haraka kabla ya jua halijazama.
 
Back
Top Bottom