Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Bachelor of Ministry, All African Bible College, South Africa (undoubtedly now renamed Southern African Bible College) Southern Africa Bible College.

It is a super political CV kama amepitia hayo unayosema ya Shoe shining and kuuza kiosk, who else qualifies more than him to be a representative? A Professor who knows more of books than life on the ground? A businessman residing abroad who knows more of "uraia pacha" and "blogs" than allowing a landless person to grow potatoes in your backyard? Tuwafagilie wana Iringa kwa kupata true rep. I pray iwe hivyo majimbo yote 2015. Wenye CV zao wapeleke EU ama Silicon Valley.
 
Back
Top Bottom