Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Nawewe anzisha shoe shine ili baadae uwe mchungaji na kisha uwe mbunge . Huyo ni mheshimiwa wa watu wa Iringa wewe una mwita jiwe nina wasiwasi wewe umetoroka milembe kabla daktari hajakuruhusu
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Acha kuweweseka kijana huna hoja mara ooh jiwe ukishajuwa iweje?tulia dogo
 
Great minds discuss ideas;
Average minds discuss events;
Small minds discuss people.
Eleanor Roosevelt
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

vp unataka na wewe uende hicho chuo walau upate hata robo ya busara zake?? Kwa wewe sahau sababu usha elemewa na CCM VIRUS,
 
Unauliza alisomea wapi uchungaji. kwani ubunge alisomea wapi. CCM inakupeleka pabaya au umetumwa na mzee wa tembo
 
Katika imani ya Ukristo, Mchungaji ni kiongozi wa Kiroho. Viongozi wa Kiroho wanapimwa kwa njia mbili tu: Kwanza ni Uadilifu katika hayo mambo ya Kiroho, na Pili ni Uwezo wa Kuongoza.

Hili la Uadilifu katika mambo ya Kiroho, na ni katika dini zote duniani, limejikita kwenye Ukweli, Huruma na Upendo kwa wanadamu wengine. Tunda la haya mara nyingine limekuwa UTU WEMA. Uwezo wa Kuongoza umehusu zaidi uwezo wa kujieleza katika hayo mambo yanayohusu Ukweli, Huruma na Upendo, ili watu waelewe na kuiga tabia hizo katika maisha. Mtume Muhammad SAW na Yesu Kristo (Issa Bin Mariam) hawakupita kwenye Chuo chochote cha Theologia. Waliongoza kwa Kipaji alichowapa Muumba.

Tunachojifunza kutoka katika maisha ya viongozi wakuu wa kiroho ni kwamba Mungu huwapa watu kipaji kwa makusudi yake yeye Mungu. Sijui Msigwa alisomea wapi uchungaji, lakini najua kufikia hapa tulipo leo, Msigwa ameonesha sifa za Kuwa Mkweli, kuwa Mwenye Huruma, kuwa na Upendo kwa wanadamu wenzake. Lakini Pia anajua kujieleza akapata watu kufuata yale anayosimamia. Kwa hiyo hata kama hakuenda chuo chochote cha Theologia kama alivyokuwa mtume Muhamad na Issa bin Mariam, yeye ni Mchungaji.

Wewe Chris Lukosi haya huwezi kuyaona kwa sababu una akili ndogo sana.

Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
Msigwa ana good entrepreneurial mind. Ana uthubutu. Saafi sana
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Nitakujulisha, endapo ukinieleza Mh. Asumpta anatumia vipi jina la uchungaji!
 
hapo nafikiri sasa ni kimya kabisa. Lakini huyo mama mzungu aliyekaa akiwa amevaa vizuri na yeye ni mke wa Mchungaji au mchungaji pia?
 
Back
Top Bottom