Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.
Mashule alirekebisha mengi, Barabara za ndani na pia alitatua kero za maji katika baadhi ya maeneo kwa kiasi kikubwa.
2010 alishinda kwa tofauti ya kura 1000+
2015 anashinda kwa tofauti ya kura 27000+
PSM HANA MPIZANI IRINGA MJINI.
hatuwezi kukaa kimya katika hili moja kati ya mambo ambayo tulifanya kwa usahihi mkubwa kabisa ni hili la kumchagua Msigwa na kwa sauti KUBWA KABISA TUNASEMA 2015 MSIGWA TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Alichofanya kiko wazi ila si mbaguzi,kwani kuna vipofu kama wewe mliojaa ukurutu ndo anataka kuwahabarisha maana hata punda wameona na kuzungumza lakini kwa vile mmeweka pumba na pamba masikioni hamtaki kusikia wala kuona.