Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 987
Una uthibitisho kuwa Hamza alitapeliwa na polisi?Issue ya Hamza imethibisha kwamba Malipo wanayopata askari wetu kwa kazi ya kukisaidia chama cha mapinduzi kung'ang'ania madarakani kwa msaada wa jeshi la Polisi ni ruhusa ya kufanya ung'anyaji na uporaji wa mali za Raia.
matokeo yake askari wetu wamekuwa ni matapeli, washiriki wa biashara za madawa ya kulevya, wanyang'anyi na wauji, na kupelekea kuwa na jeshi la polisi lisilo na weredi wa kusimamia usalama wa raia na mali zao kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi,
ulitakiwa ulete uthibitisho kwamba hakutapeliwa kabla ya kunishambulia. eyes and ears witnesses wote wanasema Hamza alikuwa analalamika kudhurumiwa na askari kabla ya mauti kumfika.Una uthibitisho kuwa Hamza alitapeliwa na polisi?
Au ndo mihemko yako tu?? Nilikuwa nakuonaga una akili kumbe hauna lolote! Mweupe tu kichwani. Yaani story za vijiwe vya kahawa ndo unaleta humu?
Anayetuhumu ndo anatakiwa kuthibitisha au anayepinga tuhuma?ulitakiwa ulete uthibitisho kwamba hakutapeliwa kabla ya kunishambulia. eyes and ears witnesses wote wanasema Hamza alikuwa analalamika kudhurumiwa na askari kabla ya mauti kumfika.
au unapingana mpaka na maelezo ya hamza mwenyewe?
Jeshi la Polisi ni guilty until proven innocent.Anayetuhumu ndo anatakiwa kuthibitisha au anayepinga tuhuma?
Umeishia darasa la ngapi?
Weka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!Anayetuhumu ndo anatakiwa kuthibitisha au anayepinga tuhuma?
Umeishia darasa la ngapi?
Huna uthibitisho kumbe?Jeshi la Polisi ni guilty until proven innocent.
kwa sababu umeamua kusimama upande wa jeshi la polisi, prove yourself innocent.
Nshakuambia Jeshi la Polisi liko guity until proven innocent, hiyo ndio social media principle. sasa wewe leta kukalili utafeli.Huna uthibitisho kumbe?
Weka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!
Video iliyopo ni iliyochukuliwa kwenye bus inayoonesha analalamika Siro kuua vijana wa kiislam huko kusini na anasema yeye anamtetea Allah!
Wewe video yako inayosema alidhurumiwa madini iko wapi?
Social media principle iliandikwa wapi na nani?Nshakuambia Jeshi la Polisi liko guity until proven innocent, hiyo ndio social media principle. sasa wewe leta kukalili utafeli.
Wanasikitisha sanaVijana wa kitanzania wengi ni wajinga wanafuata mkumbo hawatafuti fact
wewe huko uliko kama si tanzania utakuwa ni mtumwa physically na mentally,Vijana wa kitanzania wengi ni wajinga wanafuata mkumbo hawatafuti fact
nshakuambia acha kukalili hausikii, usilete mambo ya shuleni kwenye maisha. tunawapeleka shule mkakukuze uwezo wenu wa kufikiri sio kukalili.Social media principle iliandikwa wapi na nani?
wewe huko uliko kama si tanzania utakuwa ni mtumwa physically na mentally,
Fact ni relative na contextual.
Ni sawa, alikuwa kada na si mwanachama.. Maana kama kujenga pekee ni alama ya uanachama, NAMKUMBUKA SABODO KWA ALIYOYAFANYA KWA CDM NA HUKU IKISEMEKANA YEYE NI MWANACCMNinasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?
Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?