Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,920
- 7,469
hamna haja ya kushambuliana. hoja zikikuchanganya unaondoka kimya kimya.Maoni yako hapo juu yametosha kujua wewe ni mtu gani!
Nisamehe nilitaka nikushambulie lkn I'm too old for that
hamna haja ya kushambuliana. hoja zikikuchanganya unaondoka kimya kimya.Maoni yako hapo juu yametosha kujua wewe ni mtu gani!
Nisamehe nilitaka nikushambulie lkn I'm too old for that
Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?
Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?
hahahaha, shusha clips hapa.Mara nyingine wapangaji wa mipango dhalimu kwa nchi wamejificha kwenye siasa kama maficho na platform ya kutekeleza mipango yao mibaya. Na wanapotenda uovu watu badala ya kuangalia hatari ya kile kilichofanyika wanaanza kujadili na mambo ya siasa. Wao wanafurahi kwa kuwa wamefanikiwa kuficha id zao.
Ukitaka kuamini baada ya hili gaidi kuuawa ndugu zake halisi ndio walioibuka na tena sio hao wa hicho chama mnachokituhumu alitoka.
Fuatilia video ya mazishi yale kuna mtu mmoja aliyejitokeza akisema yeye ndio msemsji wa familia yake, halafu fuatilia kampeni za uchaguzi mkuu uliopita kuna kiongozi mmoja wa dini alikuwa anaambatana na mgombea mmoja wa upinzani ambaye alikuwa anatoa dua za ajabu ajabu, fuatilia hiyo sura vizuri uunganishe na huyo msemaji wa hiyo familia, utajua nchi yetu ilikofikia
hamna haja ya kushambuliana. hoja zikikuchanganya unaondoka kimya kimya.
Hahaha wanamkana gaidi mwenzao?Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?
Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?
Mara nyingine wapangaji wa mipango dhalimu kwa nchi wamejificha kwenye siasa kama maficho na platform ya kutekeleza mipango yao mibaya. Na wanapotenda uovu watu badala ya kuangalia hatari ya kile kilichofanyika wanaanza kujadili na mambo ya siasa. Wao wanafurahi kwa kuwa wamefanikiwa kuficha id zao.
Ukitaka kuamini baada ya hili gaidi kuuawa ndugu zake halisi ndio walioibuka na tena sio hao wa hicho chama mnachokituhumu alitoka.
Fuatilia video ya mazishi yale kuna mtu mmoja aliyejitokeza akisema yeye ndio msemsji wa familia yake, halafu fuatilia kampeni za uchaguzi mkuu uliopita kuna kiongozi mmoja wa dini alikuwa anaambatana na mgombea mmoja wa upinzani ambaye alikuwa anatoa dua za ajabu ajabu, fuatilia hiyo sura vizuri uunganishe na huyo msemaji wa hiyo familia, utajua nchi yetu ilikofikia
HahahaIssue ya Hamza imethibisha kwamba Malipo wanayopata askari wetu kwa kazi ya kukisaidia chama cha mapinduzi kung'ang'ania madarakani kwa msaada wa jeshi la Polisi ni ruhusa ya kufanya ung'anyaji na uporaji wa mali za Raia.
matokeo yake askari wetu wamekuwa ni matapeli, washiriki wa biashara za madawa ya kulevya, wanyang'anyi na wauji, na kupelekea kuwa na jeshi la polisi lisilo na weredi wa kusimamia usalama wa raia na mali zao kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi,
Ndio maana waasi wote na wahamiaji haramu wako ndani ya ccm.Yeah inajulikana kuna ajenda nyuma ya pazia bahati mbaya watanzania wengi hawajajua but the elites are fighting back kufanya nchi iwe salama na kamwe hawataweza
Taifa hili linamisingi imara kila anayejaribu kuligeuza juu chini huishia kuaibika yeye
Ndio maana waasi wote na wahamiaji haramu wako ndani ya ccm.
Kwani akiwa ni mcc anayofanya anatumwa na ccm?Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha?
Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho upi?
Mmewafuata wananchi gani walioshindwa kuthibitisha?
Hawajielewi hawa nyumbu achana naoWeka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!
Video iliyopo ni iliyochukuliwa kwenye bus inayoonesha analalamika Siro kuua vijana wa kiislam huko kusini na anasema yeye anamtetea Allah!
Wewe video yako inayosema alidhurumiwa madini iko wapi?
Wewe mwenye uwezo wa kufikiri weka ushahidi hapa kuwa Hamza alitapeliwa madini na polisinshakuambia acha kukalili hausikii, usilete mambo ya shuleni kwenye maisha. tunawapeleka shule mkakukuze uwezo wenu wa kufikiri sio kukalili.
wewe hemu tumia akili wewe, umewezaje kutumia internet na akili za namna hii aisee.Wewe mwenye uwezo wa kufikiri weka ushahidi hapa kuwa Hamza alitapeliwa madini na polisi