Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.

Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!

Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
 
Of course hili la Ole Sendeka ni drama tu. Yaani washambuoiaji washambulie gari peke yake?

Kuna la mbinu la la kutafuta huruma ya wananchi kwenye uchaguzi wa mwakani kupitia drama hii.
Hata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...

Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
 
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.

Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!

Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
Pambanua kwa kueleza bayana tofauti zilizopo kwenye matukio haya mawili.
 
Lakini mpaka leo Lisu anaishi kwa kupakatwa na wazungu
Na serikali yako ya ccm imepakatwa na mabeberu,hadi leo budget yako ya nchi inategemea hao hao mabeberu,unafiki mkubwa wa walafi ndio unaoizamisha nchi yetu,kama upo karibu na channel 10 kwa sasa,angalia mjadala wa kanda ya ziwa ni unafiki mkubwa,uongo na kujikomba,wachangaji wote ni pretenders,huyu msukuma ni zero kabisa
 
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.

Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!

Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
Ole Sendeka Kajipiga risasi kutafuta huruma kwa wapiga kura kuelekea 2025….propaganda hizo …asipotezee watu muda
 
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.

Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!

Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
muhimu kuheshimiana na kutokudhulumiana 🐒

baki njia kuu,
mke wa mtu sumu 🐒
 
Back
Top Bottom