mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 98
- Thread starter
- #81
ndio maana wenzio ma x wetu tunao mpka leo na wakija gheto wanakula mgegedo kama kawa unadhani hao wameachana wala wanakuenjoy tu
Hahahaha kuna watu na viatu.....Mpe tena nauli uhakikishe kama kweli wameachana.
Haha ha bi Dada wewe asante umeniongezea siku za kuishiMpe tena nauli uhakikishe kama kweli wameachana.
Kuna msichana wa kazi tena"msichana wangu".......... Ni yule msichana wa kazi?
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
Huna akiliMimi nina msichana ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zamani na kuanzisha mahusiano na mimi mapya ila msichana wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aende akamchane live ex wake kuwa aachane nae ili asiendelee kumsumbua.
Basi nikampa nauli akaenda kwa ex wake huyo ila cha ajabu huyu msichana akaja kuniomba msamaha kuwa baada ya kufika kwa ex wake huyo shetani alimpitia akasex nae bila kutegemea, kwa kuwa huyo ex wake alimlazimisha kufanya nae mapenzi na mpaka sasa huyo ex wake ameshaachana nae rasmi baada ya kumwambia kuwa ana mpenzi mpya ambaye ni mimi.
JE HUYU MSICHANA ANANIFAA AU HANIFAI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada mjinga sana
Dame anakuomba nauli aende kwa BF wake (ati wa zamani). Baadae anarudi na kukwambia umsamehe kwani alimegwa tena na tena alipofika kule. Kwa ututusa wako, unakuja JF kuomba ushauri.
Mwambie akupe namba ya huyo jamaa na umpigie kumuuliza kama ataacha kumfuatilia tena dame wako