Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

yaan unampa nauli ya kwenda "kumchana mwanaume" na wewe unaamini anaenda kumchana ...du ama kweli dunia ina mambo...next time tena mpe nauli aje anichane na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan unampa nauli ya kwenda "kumchana mwanaume" na wewe unaamini anaenda kumchana ...du ama kweli dunia ina mambo...next time tena mpe nauli aje anichane na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa amenichekesha asee nimeanza kuamini wanaume halisi ni viumbe adimu tulio hatarini kutoweka
 
Ulimpa na nauli kabisa akachenjuliwe? Pole sana
 
Si alienda kumchana uzazi sasa unalalamika nn?
 
Huyu jamaa amenichekesha asee nimeanza kuamini wanaume halisi ni viumbe adimu tulio hatarini kutoweka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ongea taratibu asitusikie ...akitusikia hatampa nauli ...leo ni zamu yangu kuja "kuchanwa".. wewe subiri kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah,una umri gan mkuu....nyie vijana mnadharilisha saana hadhi ya kiume
 
Muache tu maana wewe mwenyewe huna future nae huwezi mwita mpenzi wako demu wako hata siku moja
 
Kunywa sumu mkuu,achana na shida za duniani hapa.
 
Back
Top Bottom