Mimi Nina demu ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zaman na kuanzisha mahusiano na Mimi mapya ila dem wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aenfe akamchane live ex wako kuwa aachane nae ili asiendelee kumsumbua basi nikampa nauli akaenda kwa ex wake huyo ila cha ajabu huyu demu akaja kuniomba msamaha kuwa baada ya kufika kwa ex wake huyo shetan alimpitia akasex nae bila kutegemea kwa kuwa huyo ex wake alimlazimisha kufanya nae mapenz na mpka sasa huyo ex wake ameshaachana nae rasmi baada ya kumwambia kuwa ana mpenz mpya ambaye ni Mimi.
JE HUYU DEMU ANANIFAA AU HANIFAI?
Sent using
Jamii Forums mobile app