Hamjambo vijana?Anatekenyeka kama wewe ukishikwa kwenye miguu huku chini!
....mapenzi bhana!!!....atakuwa tu mtu asie na umagharibi, HAWI comfortable ukimshika!!!....simple like that.
Acha ku-complicate mambo, Relax....
Warren, Werrason??!..... Tu wazima kijana mwenzetu, hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na PM!Hamjambo vijana?
naona kama ananinyanyapaa kaka.hongera kwa kupata mwanamke anaejua nini maana ya stara, atakufaa kaka.
asante kwa ushauri mkuu.Usione soooo sema naeeee........(naimba tu) ila muulize tu siyo dhambi binafsi nahisi hizo ndio anga zake za kupandisha nadhani umenielewa?
kwanini mkuuPumbaaa kabisa wewe...!!
hakuwa bikra kaka tuliwai do kama mara 3ulimkuta ni bikr?? au bado mnasubr ndoa??
hahaha ha.. Sawa mkuuSasa umshike kiuno kwa lipi tena hadharani? Humpi chochote except yo d.k. Unamchosha bure alivyoona ndo hayo magori 7 ya kumzeesha bure wakati humpi chochote tofauti nakumzeesha akaamua kutafta baba mlezi. Ambae anamcare na hamchoshi, nusu gori tu, laki 3. Wewe magori 7 with northing kisa umemuhaidi ndoa.
Kwaiyo koma kumshikashika mbele za watu baba mlezi akijua tutaona utakula nn.? Umesahau kodi ya nyumba inaisha mwezi ujao? Take note.
nitajaribu hili swalaJaribukumshika. Mkiwawenyewe. Akiutoamkono. Juwahakupendi. Tabiazaohaowakikupendaloloteunalofanyahatakamanibaya. Hufuraiya. Nakamahakupendihataumfanyiezurihuonakawaida
Khantwe na wewe unanicheka?Hahahahaaaa hampi chochote except his what...??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
lakini si inabidi nianze kumzoesha?Eeeeh navyopenda mimi khaa (iwe matembezi ya usiku lakini mwee), ukute mkaka ni mrefu kunizidi afu kanizungushia mkono kiunoni au mabegani mweeee, najikutaje ka-baby sasa[emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87]
Inawezekana hayupo comfortable mwenzio, muelewe tu atazoea taratibuuuu
Labda huwa anaogopa utampandishia nyeg* maana wengine huwa Wako hivyo mkuu...ila pia ni vema kumuuliza why hapendiHabari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?