Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Habari za leo wakuu
Naomba kuuliza msichana mwenye II ya 12.. A level anaweza akapata chuo kinachotoa degree ya medicine? kama ndio naomba kujuzwa ni vyuo gani anavyoweza ku apply..
Na kama sio ni koz gan nzuri mnamshaur akasome
Ana D flat na C ya BAM
Naomba kuwasilisha......