Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae
1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms