Msichana mzuri anahitajika

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms
 
Bwa ha ha..yaani wewe kuingia kwene nyumba ya JF post yako ya kwanza mojakwa moja imechoma kwene chumba cha baba na mama..lol

K'ribu na goodluck with ur pursuit..
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

Kila la heri....najua hapa kuna wanawake lakini sina uhakika kama kuna wasichana
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

I dought kama utafutaji huu wa msichana utakuwa na tija kwa wahusika(walengwa).... Kama msichana anatafutwa kwa njia hii, ndoa zisingekuwa na matatizo hata kidogo katika ulimwengu huu.....

NAKUTAKIA KILA LA HERI MWANAWANI......
 
Mvulana anasaka msichana! Wawekee mahitaji yako wajijue kabisa kama wanameet mahitaji au la b4 kukutumia hizo cv zao. Kila la kheri
 
king11

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Mon Jun 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms
umesema una mafanikio je unaweza kufafanua hapo maana hata mwenye pikipiki ana mafanikia kuliko mwenye baiskeli na mwenye Bajaj ana mafanikia kuliko mwenye pikipiki na mwenye gari ana mafanikio kuliko mwenye Bajaj sasa wewe una mafanikio kwa kigezo kipi?
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

mmh kaka mbona umetanguliza una mafanikio ..........???????
do u thnk ol woman can b attractive to u cz umefanikiwa??????????
thats line shows how much ur selfish .......kisaikolojia zaid apo.then it shows haujiamin ndo mana umetanguliza MATERIALS ACHVMENT zako......

ushauri;:embarrassed1:
-wewe ndo wakutoa cv yako
-ungesema labda u mcha mungu ......mwslamu au mkristu
-unapenda aweje...na siyo kutuma cv as if unataka kumwajiri ...so ikiwa utamchagua na akakuboa siku moja uko maishani utamwambia wewe naona cv yako ulidanganya......
-wewe ndo ungetoa sifa zako ukoje kimwonekano na unataka nin kutoka kwa mtarajiwa akiwa na sifa zipi......
nwasilisha babuweeeeeeeeeee............byeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
-lakini apo pakutanguliza una nini kaka una feli.cz si kila mwanamke yupo aftya achvment.....mwngne anataka plane sht ili muanze wote....usingetoa hii senensi ya unanini ningekuchek bt kwa ili..mhh mhh naogopa cz ni dalili mbaya km ukiwa baba unaweza kuwa selfish....bt ata ivo wanaopenda ready made watakuja cz wao ni afta ana nini,.........kwan we kabila gan???

:lying:
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf

4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

mmmH! hapo ninashaka kama utapata mtu ajiseme ubora wake kama hajui yako
 
uzuri ni relative term; mzuri wangu siyo mzuri wako! nawaunga mkono wanouihitaji CV yako na haiba yako kwanza!
 
Since when CV has become an issue in starting love relationships?? What happened to the real feelings that two people of opposite sex share?
 
What happened to the real feelings that two people of opposite sex share?

it does not apply in this case; as he stated the criteria he wishes his lover to possess..ni kama tayari alikuwa anahitaji mtu mwenye cv hiyo!
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na nina mafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

Hii ni dizaini mpya ya kutafuta wapenzi au wachumba??

Nafikiri kama ww ni mvulana na unahitaji msichana then nenda sekondari skuli utawapata...

Dah... Nakuweka kwenye maombi upate msichana mwenye CV unayoitaka na aliye kuolifai...:amen:
 
Mimi ni mvulana mwenye malengo mazuri na ninamafanikio nahitaji msichana mwenye malengo ya maisha ya baadae

1. aweke cv yake
2.aeleze ni kitu gani ambacho yeye ni bora kuzidi wasichana wenzake
3.picha kadri awezavyo
mawasiliano yanaweza kufanyika kwa private sms humu jf
4. nitayemchagua nitamjulisha kupitia private sms

Woga mtupu!!!
 
Mmh...kuna kitu nilitaka kukuuliza mtoa mada lakini busara za kawaida zimefanya nijizuie. Kila la kheri.

Annina
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom