Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,083
- 8,404
Ujue nae alikua na spare tyre
Kwahiyo na wewe ni chizi kwakuwa ulikuwa naye.![]()
View attachment 614676 Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.
Poa! Mzima wewe?Mambo?
Poa! Mzima wewe?
Ww ulidhani atakwambiaje?!
Msg yenyewe umeandika unatetemeka unaweka nukta kibao
Pole! Mie pia nilikumis.Mzima thou nmekumis
Pole! Mie pia nilikumis.
Ukiona hivyo ujue ulikuwa mzigo kwake na pia ulikuwa umfikishi mahali pake kwahyo alikuwa anatafuta jinsi ya kuachana na wewe...View attachment 614676 Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Acha kunirusha roho ujue
Sasa kama umemuacha nitumie namba zake basiView attachment 614676 Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.