Msichana muelewa huyu hadi raha

Msichana muelewa huyu hadi raha

Hapo kila MTU alikuwa ana lengo la kupiga chini mwenzake so hiyo ni sababu tu
Kama lengo ni hilo basi ukiona red light anza kuacha wewe kabla ya kuachwa maana kuachwa kunapain kinoma
 
Kwa hiyo hata wewe ulikuwa chizi. Kama uliishi na mtu mwenye kiwango cha kuzolewa na chizi.
Kuachana sio vita usimshushe thamani kiasi hicho.
Possibly!kila MTU ni chizi kwa eneo lake.ila ninaemaanisha hapo ni yule....
 
Nayeye alikuwa anatafuta njia ya kukupiga chini sio kukubali kirahisi hivyo
 
Ww ulidhani atakwambiaje?!



Msg yenyewe umeandika unatetemeka unaweka nukta kibao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee nimecheka kweli.

Anyway,so unajikuta kiduume mwenyewe eti unajisemea muelewa. Unadhani hata mie ningekung'ang'ania??
Simple tu,poa hivo aani.
 
View attachment 614676 Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.
From my experience inaonyesha huyo mwanamke alikua hakupendi na kuna uwezekano mkubwa na yeye alikua na wenzako kama wanne hivi...kwa kifupi hapo umempunguzia jam!!

Mind you, mtu akikupenda kwa dhati ni ngumu sana kukubali matokea kirahisi namna hiyo....
 
Hongera kwa kumuwahi kabla hajakubwaga yeye
 
Njoo kwa inbox maana yupo desperate kinoma hata chizi anazoa tu
Kwahiyo na wewe ni chizi kwakuwa ulikuwa naye.
2203c02ef9f9dcafe45543e389485060.jpg
 
View attachment 614676 Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.
Alikuwa na mchepuko, subiri umuachie uome vumbi lake
 
Nauna moyo wake unavyosononeka na kuumia kukujibu simple hivyo sio sababu yeye ni muelewa sana ni sbb hakutaka kupinga maamuzi yako yenye kila aina ya unyama na ukatili, shame on u
 
Yaani huyu alikuwa anaomba MUNGU umuache anamtu wake kwako alikuwa yuko kimwili tu
 
Back
Top Bottom