Haaaa!
Safari njema mkuu[emoji1549]
kweli mzee lazima uwahi kuachaKama lengo ni hilo basi ukiona red light anza kuacha wewe kabla ya kuachwa maana kuachwa kunapain kinoma
Hakuna kitu wewe..Akatii ukutee hapoo kiroho manzii kinamuuma... kupanua mapajaa kwa juhudi kila siku leoo unaambiwa hivyoo..!?? Daah boraa umuache mtu kimya kimya...
pole mwaya,...naona unatamani kujua upo kama kipofu hapo.Hivi vyuma hivi, natumia kijinokia hakizoom hata picture, hapa sina cha kukoment.
Unataka matapishi?" jamaa yawezekana ni angaza oohooh utapoteza ndoto zako weeNitumie namba zake mkuu,huenda akanifaa mimi
Unajuaje mkuu kwamba hajashtushwa? hebu fikiria huyo binti amechukua almost dakika 20 kabla hajaijibu hiyo text yake, huwezi jua alikuwa anawaza niniMbona hajashtushwa. Yaani hajapata hata mlipuko wa moyo..
Nimemdharau sana uyu mvulana (haezi kuwa mwanaume). No wonder anajiita uduvi. A clear lack of gentlemanshipKwa hiyo hata wewe ulikuwa chizi. Kama uliishi na mtu mwenye kiwango cha kuzolewa na chizi.
Kuachana sio vita usimshushe thamani kiasi hicho.