msaada jamani kuna msicha ana umri wa miaka 25. elimu darasa la saba. anatafuta kazi za nyumbani (housegirl) . ila isiwe kazi ya kulala kwa mwajiri ni yakwenda asubuhi na kurudi jioni. kuanzia j3 hadi j. mosi. mshahara kuanzia sh 80,000 maelewano yapo. atakayekuwa anamuhitaji awasiliane na mimi kwa no 0787559619
sifanyi biashara yoyote.just namsaidia huyu dada kwani anashida hiyo. pia awe anapewa nauli sh 600 kila siku. sio kama anamume ni uamuzi wake na kutokana na umri wake si vyema afanye kazi na kulala kwa mwajili yeye ndio mtazamo wake. j2 anaenda kanisani. ameokoka, so anahitaji muda wa kumwabudu Mungu wake.
kama kuna issue ya nauli pembeni then 80,000 ni sawa. japo kuna watu hawajali kuishi na maid mtu mzima, na j2 kupata off ya kwenda kanisani na kuonana na mshkaji wake pia ni halali yake. atapata kazi,mungu atamsaidia. hongera kwa kujaribu kumsaidia.
Soma Wage Order and Regulations GN 172 ya 2007 (au Labour Institution Act, Cap 300 ya 2010) utaona kiwango cha mshahara wa Housegirl achana na ubabaishaji wa elfu 80 na Laki 1 kwa mwezi. Labda kama kuna utani ndani yake.