gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Jamani msifanye masihara na malez ya watoto wetu.
kuna case mbili tofauti ziliwah kutokea shulen hadi waalim tulishangaa.
case 1: binti anamtaka mwl wa kiume na akamwandikia shairi kisha akamtumia na cd iliyojaa picha zake za utupu. wakati anaifunga ile parcel alimweleza shoga ake. kesho yake akampa mwanafunzi wa darasa jingine ailete kwa mwl husika mwl hakuwepo ofcn so alipokuja alikutana na bahasha yake kuifungua akastaajabu sana manake alikutana na shairi beti kama 20 hivi. Pamoja na cd ambayo haina maaandish yyte yale, kwa juu akaiweka kwenye laptop aone kuna nini. picha y kwanza tu hakuweza kuendelea na ilikuwa songombiko.
case 2: mwanafunzi wa kiume alimtaka mwl wa kike mwl akatumia didplomasia kumdiscourage but kijana akagoma alichofanya alienda nyumban kwa mwl ( ticha ndo kabinti tu new employment), kijana akaingia ndani ticha akajua kaja nimwelekeze jambo duh! kijana akaanza kumlilia mwl akidai anataka unyumba ilikuwa mbinde kumtoa ndani ya nyumba ya mwl. na hapo shule inasheria kabisa hakuna ruhusa kwa mwanafunzi kwenda nyumban kwa mwl lkn huyu alikwenda.
hawa ndo watoto tunaolea siku hizi.