Msichana anapoingia officini kwako na kuanza kusema......................

Jamani msifanye masihara na malez ya watoto wetu.
kuna case mbili tofauti ziliwah kutokea shulen hadi waalim tulishangaa.

case 1: binti anamtaka mwl wa kiume na akamwandikia shairi kisha akamtumia na cd iliyojaa picha zake za utupu. wakati anaifunga ile parcel alimweleza shoga ake. kesho yake akampa mwanafunzi wa darasa jingine ailete kwa mwl husika mwl hakuwepo ofcn so alipokuja alikutana na bahasha yake kuifungua akastaajabu sana manake alikutana na shairi beti kama 20 hivi. Pamoja na cd ambayo haina maaandish yyte yale, kwa juu akaiweka kwenye laptop aone kuna nini. picha y kwanza tu hakuweza kuendelea na ilikuwa songombiko.

case 2: mwanafunzi wa kiume alimtaka mwl wa kike mwl akatumia didplomasia kumdiscourage but kijana akagoma alichofanya alienda nyumban kwa mwl ( ticha ndo kabinti tu new employment), kijana akaingia ndani ticha akajua kaja nimwelekeze jambo duh! kijana akaanza kumlilia mwl akidai anataka unyumba ilikuwa mbinde kumtoa ndani ya nyumba ya mwl. na hapo shule inasheria kabisa hakuna ruhusa kwa mwanafunzi kwenda nyumban kwa mwl lkn huyu alikwenda.

hawa ndo watoto tunaolea siku hizi.
 
kaazi kweli kweli............Hivi viboko hakuna huko shuleni?
Watu tunaowaona uraiani ndio haohao waliopo mashuleni na zaidi ya hapo wana Elimu na Maarifa.
Hivi Mwalimu upo serious na kazi yako Mwanafunzi anaanzaje kukutamkia hayo mambo from no where?

Msitudanganye............ninyi ndio mnaonyesha interest na Wanafunzi wanafuata mkondo
Kama huku mtaani malaya anakupigia hesabu kwa kutumia lugha ya Vitendo itakuwaje mwanafunzi akuvae na swali la aina
hiyo ikiwa haukuwa na interest na vibinti?
 
kaka usiombe walimu vijana tuna mitihani tena wakipata na namba zako za simu utablow yan full usumbufu wengine wanatumia hadi mama zao na dada zao, mama anakupigia simu usiku anasema mwanangu anataka kuomba ruhusa akichukua simu hiyo ruhusa Sasa inavyoombwa balaa, mbaya zaidi ktk Shule yetu mwalimu wa kike ni HEADMISTRESS tu na yeye Yuko busy Hana muda wa counselling watoto hawana adabu wanaweza kuta mmekaa hata watatu afu anasema mwalimu Flani Nakupenda hata ukimpa adhabu Yuko radhi anasema nafanya coz Nakupenda watoto wa siku hizi acha tu

Sasa wewe ukiambiwa nakupenda ndio dude lako lishasimama? Kuweni wastaarabu Kimbia zinaa.
But mwalim nakuelewa sana unachomaanisha
 
Natambua utendaji wangu,,,..Nimependa kuwasilisha mjue na nyie.............So kua limenishinda
 
We imagine mtoto huyu amfate mtu ambae hatawaza maisha yake ya badae inakuaje,..Ndo mana mwaka huu mtoto shule ya msingi kajifungulia darasani,mnataka kila kitu afanye mwalimu,Mkiwa wabishi wazazi mtalea wajukuu sana mwaka huu
 
Kumbuka hasa watoto wengine hawakai bweni.Mwalimu atammeneji vip,wana simu wakiwa njiani wanachati na watu wao na sa ingine wazazi tunachangia hili mana unamtegemea Mwalimu hata mtoto wako akiwa off campus tumlee sisi
 
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj

Ni ngazi gani ya elimu? Kama A-level ungempa tu hiyo dose!! Kama sio, basi ungemtoa ofisini tayari akiwa na fimbo mbili!
 
Najua ninachokifanya na nipo thabiti kama simba wa Yuda
 
Napenda nimpe jibu ambalo sitamwathiri kisaikolojia

si umesoma education psychology? wewe ndo uanatakiwa utupe jibu la uhakika kwa kuwa umefundwa katika eneo hilo. lakini kwa mawaazo yangu, ungemwambia nimekubali lakini sitokuoa kama hukupata div 1 ya point 7. hivyo ataanza kusoma kwa bidii kwa kuamini kuwa ili aolewe sharti awe na div. i point saba, asipoipata amekukosa.
 
Mimi ni Mwalimu wa kiume katika shule fulani,Mtoto wa kike kaja ofisini na kunisihi...:Sir Sorry me ni binadamu,,,,nakupenda mwalimu,....Naomba nikimaliza unioe,....::nikamjibu soma usiwaze hayo.....Akaja akanambia kama hunisikilizi nakunywa sumu....:nfj
mwambie akifaulu unamuoa akifeli na wewe unakunywa sumu
 
si umesoma education
psychology? wewe ndo uanatakiwa utupe jibu la uhakika kwa kuwa umefundwa
katika eneo hilo. lakini kwa mawaazo yangu, ungemwambia nimekubali
lakini sitokuoa kama hukupata div 1 ya point 7. hivyo ataanza kusoma kwa
bidii kwa kuamini kuwa ili aolewe sharti awe na div. i point saba,
asipoipata amekukosa.

Akiipata je?
 
Pole sana mwalimu BUMIJA, hakuna haja ya kuhangaika na mtu (mtoto huyu)
mtoto huyu:
1.Anajua kuwa yeye ni Binadamu
2.Anauhakika kwamba ana kupenda
3.Anatuma maombi yake kwako

Lakini wewe hutaki kumsikiliza hata kwa kile alicho nacho bali unapotezea kwenye masomo...!!!!!!!!! .
Masomo ya nini?
Hapo hakuna masomo
hapo ni mapenzi
somo la mapenzi na si vinginevyo.


Sasa huyu mtoto amekuona huwezi kumpa somo hili;

Anataka kukuadhibu wewe kwa kunywa sumu.(an error ,target error,missing point)
huwezi kuazibu mtu kwa kujiumiza wewe bali utaumia wewe tu.

Hivo basi mwalimu kaa na msikilize Mtoto huyo ,
Mtoto huyu Hajui kwamba hajui mapenzi .........anachojua ni tendo la Mapenzi na si Penzi (XXXX-google)
fundisha mapenzi ya kweli na illusive feeling
usisahau Colorful Images .........atafurahia sana na kukuheshimu kweli
Mwalimu utaona ,
mafundisho hayo yatabakia kwenye center of her feeling controlled by reality ..
.....Penzi sio XXXX-google
lakini kama atataka XXX-google ......ambayo ni experimental phenomena, direct her to Mr. Darwin ( the Law of disuse and use)
Mr. Darwin encourage the use,The use of what ever she has in a proper way ,ama sivyo anapotumia vibaya kama anal ,homo, lez .....a deviant and wrong growth occours. That is execising mapenzi na Mwalimu will encourrage Negative and wrong growth.Hivyo hata pata MAPENZI anayo yataka kwa Mwalimu BUMIJA
 
nitamuuliza unataka sumu ya panya au maji ya betri,, tehe tehe maana yawezekana akawa hana pia hela ya kununua hio sumu ili nikamletee kabisa afu nitamwomba anywe hio sumu atakayochagua mbele yetu waalimu na wanafunzi ili tusiwe na haja ya kuomboleza saana ila itabidi pia ajichimbie kaburi mwenyewe maana muda na nguvu za kuchimba kaburi hatuna
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom