Kuishi kwingi kuona mengi. Kama kukwambia tu pichu aliyovaa nayo imekuwa story siku akikwambia uinuse ndo itakuwaje?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
............
19 years
mhmmn....!
mpaka shule zifunguliwe tutakoma hapa jf
mpaka shule zifunguliwe tutakoma hapa jf
Huku watoto wamejaa,ngoja niende kwenye siasa!
Hayatuhusu. Hizi mada pelekeni majukwaa mengine sio hapa JF. Kama huna cha kuongea, kaa kimya, tulia, nyamaza kabisa. Soma michango ya watu wengine.
Utakufa na presha huku bora ubaki hukuhuku utoe stress kuna vitu vizito huko havifai hata kusoma we njoo tuburudike huku tu
usisahau kumpitia na mwanamalundi
mpaka shule zifunguliwe tutakoma hapa jf
Utusindikize tafadhali,JF ina vitoto siku hizi,19 yrs unafanya nini JF?Tena MMU?Mhhhh!
............