Msichana ananitajia nguo za ndani alizovaa....

Msichana ananitajia nguo za ndani alizovaa....

Kuishi kwingi kuona mengi. Kama kukwambia tu pichu aliyovaa nayo imekuwa story siku akikwambia uinuse ndo itakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Kama kukwambia tu pichu aliyovaa nayo imekuwa story siku akikwambia uinuse ndo itakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaaaaa.......
 
Utakufa na presha huku bora ubaki hukuhuku utoe stress kuna vitu vizito huko havifai hata kusoma we njoo tuburudike huku tu

Wewe unaona hii ni burudani?
 
Utusindikize tafadhali,JF ina vitoto siku hizi,19 yrs unafanya nini JF?Tena MMU?Mhhhh!

hahaha ningewasindikiza ila me siasa hua sizielewagi kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sasa si ulimuuliza mwenyewe..sasa tukusaidiaje?
 
Back
Top Bottom