Msichana ananitajia nguo za ndani alizovaa....

Msichana ananitajia nguo za ndani alizovaa....

Hilo ni somo gani huko shuleni mnakosoma? Wenzangu mmeelewa kweli?
 
Huku watoto wamejaa,ngoja niende kwenye siasa!
 
Mmmh... Lakini na wewe si ulimuuliza? Ulitaka akwambie amevaa dera wakati alikuwa na pichu tuu?? Lol

Ukikua mengine hutayashangaa..!!
 
Hayatuhusu. Hizi mada pelekeni majukwaa mengine sio hapa JF. Kama huna cha kuongea, kaa kimya, tulia, nyamaza kabisa. Soma michango ya watu wengine.
 
Huku watoto wamejaa,ngoja niende kwenye siasa!

Utakufa na presha huku bora ubaki hukuhuku utoe stress kuna vitu vizito huko havifai hata kusoma we njoo tuburudike huku tu
 
Back
Top Bottom