Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

Mkuu acha fix. Utamlaje dem ambae hataki kuonana na wewe. We ulijichanganya ukashindwa kumla siku ya sherehe unadhani utaweza tena. Ndo imetoka hiyo mkuu labda umle kwa hisia na sabuni bafuni
Hapa kumla nitaangia gharama sio mbaya nimetenga laki 500,000/= ikikata hiyo basi naachane nae.
 
Juzi kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu, sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.

Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule binti akawa amenielewa balaa hata wakati wapicha tukafanya photoshoot session yetu mpaka tukakiss.

Sasa nashangaa baada ya kumaliza shughuli ya Harusi demu anasoma chuo karudi hostel anakuwa na kiburi balaa. Nataka nimtoe out anasema Hana muda. Amekuwa na dharau,jeuri sijapata kuona. Nilitaka kumtukana.

Ushauri wenu wadau, demu mwenye kiburi nimle tu tunda niachane naye maana siwezi kuwa na demu mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani fisi.
Unalalamika utadhani wewe mzazi wake.
 
Mzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.

Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
😂😂😂
 
Fahamu zimemrudia ungewahi kabla hazijarudi
 
sasa si umuache tafuta asiye na jeuri......... pengine wewe sio good kisser ndo maana anakuletea ujeuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia hapo kwenye good kisser🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Badala ya kumwambia mtoke, unaonaje ungemwambia unaomba kumtembelea chuoni /hostel kwao umpelekee hata zawadi kisha usimsumbue sababu yupo busy na masomo.
 
Back
Top Bottom