Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,434
- 4,671
Dogo bado una muda mrefu wa kuwasoma wanawake, tafuta maisha kwanza. Huyo dem alishakusoma kuwa hauna hela na anajua wazi hautamuoa zaidi ya kummega-mega kwa muda halafu utamwacha, kwahiyo basi ;- dem hajaona sababu ya kuhangaika na wewe ndiyo maana anakukatisha tamaa.Juzi kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu, sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.
Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule binti akawa amenielewa balaa hata wakati wapicha tukafanya photoshoot session yetu mpaka tukakiss.
Sasa nashangaa baada ya kumaliza shughuli ya Harusi demu anasoma chuo karudi hostel anakuwa na kiburi balaa. Nataka nimtoe out anasema Hana muda. Amekuwa na dharau,jeuri sijapata kuona. Nilitaka kumtukana.
Ushauri wenu wadau, demu mwenye kiburi nimle tu tunda niachane naye maana siwezi kuwa na demu mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani fisi.
Hana ujeuri bali anakukatisha tamaa ili umwache.