Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

Msichana ana kiburi, jeuri na dharau

Mtu akikuoneshea ujeuri we kuwa jeuri zaid yake.
Fanya kumtumia muamala wa laki moja ( iwe ni usiku mda ambao hawezi kwenda kwa wakala kutoa) kisha baadae urudishe muamala wako .
Hapo utakua umemuoneshea ujeuri wa hali ya juu, make hamna kitu kinauma kama kuwa ushapigia hela hesabu afu ukaona inayeyuka kma hela za Dr Shika.
Kweli mkuu itabidi nifanye hivyo yaani anajifanya yupo busy utafikiri Ni CEO wa Apple,google,Facebook au Goldman Sachs.
 
Demu umekutana naye kwenye harusi tu ushaanza kumwombea haya je angekuwa mkesi ungemuua. kama waona anazingua mwache aende zake yanini kufanya biashara yenye hasara.
Kweli mkuu itabidi nifute namba yake
 
Bora ningebaki Kama dereva tu nikaacha kumtongoza huyu manzi maana ameniletea stress tupu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Deku kugundua Gari sio yakee kalaa konaaa..!! Jamaa kabaki kumuombea apate sup tu kweli ubayaa ubayaa
Umefikiria mbali!!kumbe tatizo mdada kagundua gari sio la mleta mada!😂😂😂
 
Khaaaa we jamaa mbona sikuelewi? Dem wa siku moja tu ndo unaamsha vita yote hii?? Hujawah kupata dem mkali nini?
Hebu tulia kwanza acha wenge
 
Mzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.

Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
Hili ndio jibu sahihi.
Watu wakiwa kwenye sherehe wanakuwa na mood tofauti nafikiri shetani huwa achezi mbali.
Ila wakishaondoka hapo akili inachange na kila mmoja anamkumbuka mpenzi wake wa halali wa siku zote
 
Khaaaa we jamaa mbona sikuelewi? Dem wa siku moja tu ndo unaamsha vita yote hii?? Hujawah kupata dem mkali nini?
Hebu tulia kwanza acha wenge
Sio mkali hata itakuwa makeup tu siku ile maana nimemwambia anitumie picha za kawaida kagoma!
 
Hili ndio jibu sahihi.
Watu wakiwa kwenye sherehe wanakuwa na mood tofauti nafikiri shetani huwa achezi mbali.
Ila wakishaondoka hapo akili inachange na kila mmoja anamkumbuka mpenzi wake wa halali wa siku zote
Kweli kabisa mkuu!
 
Kwahiyo nikomae nae mzee ila ataachia tu.nataka niwale marafiki zake kimya kimya zake wao hawana noma ingawa Kuna kengine kanaringa ila kanapenda hela.
Kumbe ww ndio unatabia mbaya na malezi mabovu ndio maana kaamua kukukwepa kwa njia hyo, aligundua kapotea
 
Hili ndio jibu sahihi.
Watu wakiwa kwenye sherehe wanakuwa na mood tofauti nafikiri shetani huwa achezi mbali.
Ila wakishaondoka hapo akili inachange na kila mmoja anamkumbuka mpenzi wake wa halali wa siku zote
Kweli kabisa mkuu
Kumbe ww ndio unatabia mbaya na malezi mabovu ndio maana kaamua kukukwepa kwa njia hyo, aligundua kapotea
Mi naweza kua na tabia mbovu yeye kazidi.
 
Back
Top Bottom