Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,338
- 37,780
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Deku kugundua Gari sio yakee kalaa konaaa..!! Jamaa kabaki kumuombea apate sup tu kweli ubayaa ubayaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Deku kugundua Gari sio yakee kalaa konaaa..!! Jamaa kabaki kumuombea apate sup tu kweli ubayaa ubayaa
[emoji38][emoji38]Unanuka domo tu, piga mswaki sana.
Hapo ndio aliofeli bahariaMzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.
Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
Ku bold kama unatufokea yani. Hayo mengine watayasemea wajumbeJuzi Kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu Sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule demu akawa amenielewa balaa hata wakati wapicha tukafanya photoshoot session yetu mpaka tukakiss.Sasa nashangaa baada ya kumaliza shughuli ya Harusi demu anasoma chuo karudi hostel anakuwa na kiburi balaa.Nataka nimtoe out anasema Hana mda.Amekuwa na dharau,jeuri sijapata kuona.Nilitaka kumtukana.ushauri wenu wadau demu mwenye kiburi nimlee tu tunda niachane naye maana siwezi kuwa na demu mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani fisi.
pisi ndo zilvoNili
Nimeshadelete zote ameniboa Sana!
Mzee ukiwa kwenye sherehe ukapata mtu hakikisha unammega siku hiyohiyo akitoka pale ile furaha na wenge la sherehe au msiba humuisha na kurudiwa na akili timamu.
Kwahiyo hapo ni binti akili zimemrudia wenge limemtoka. Fanya maisha mengine. Halafu kumtukana mtu ambaye amekuonyesha maamuzi yake ni yapi ni ujinga, kua mpole.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 we mzee inaonekana ni mjinga sana,Nilitaka kumtukana.
Unataka ushauri wakati demu ameshakuacha tayari mzee ? Au hujaliona hilo ?Juzi Kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu Sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule demu akawa amenielewa balaa hata wakati wapicha tukafanya photoshoot session yetu mpaka tukakiss.Sasa nashangaa baada ya kumaliza shughuli ya Harusi demu anasoma chuo karudi hostel anakuwa na kiburi balaa.Nataka nimtoe out anasema Hana mda.Amekuwa na dharau,jeuri sijapata kuona.Nilitaka kumtukana.ushauri wenu wadau demu mwenye kiburi nimlee tu tunda niachane naye maana siwezi kuwa na demu mwenye ngozi ya kondoo kumbe ndani fisi.
Nipo na bambo hapa pembeni amesoma comment yako amesema Asenti mwanawani [emoji3]Dawa ya jeuri ni jeuri zaidi yake.
Demu umekutana naye kwenye harusi tu ushaanza kumwombea haya je angekuwa mkesi ungemuua. kama waona anazingua mwache aende zake yanini kufanya biashara yenye hasara.Natamani apate supp Kama Zote!
Kwamba inawezekana kuna harufu ya mdomo??sasa si umuache tafuta asiye na jeuri......... pengine wewe sio good kisser ndo maana anakuletea ujeuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eeh😂😂😂 au dada hakuona maajabuKwamba inawezekana kuna harufu ya mdomo??
😂😂😂inawezekanaJizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂poleeeHuyo demu anatia hasira kweli.natamani nisingemtongoza in the first place Wala kuonana nae demu gani ???
Mademu weupe Wana kiburi na dharau Kama ulikua hujui,ulitakiwa umle siku Ile ile,.