Msibani

Msibani

Rastad

Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
13
Reaction score
3
Kuna sehemu ulitokea msiba ambapo mama mmoja alikuwa analia sana kiasi cha kuonekana ameguswa sana na ule msiba,lakini baadae watu wakashangaa amekaa kimya halii.wakinamama wenzake wakamsogelea kisha wakamuuliza vipi mbona umekaa kimya, yule mama akasema nimeamua kuweka vibration.
 
...............loh!
 
Back
Top Bottom