Wakuu, Machi 29 niliweka habari hapa ya kuomba msaada wa kujua Daktari Bingwa ambaye angeweza kuwa msaada kumtibu baba yetu - https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/425631-msaada-wa-daktari-bingwa.html?highlight=.
Nasikitika sana yule baba yetu huyo kafariki baada ya kumpeleka Muhimibili kwa matibabu zaidi.
Tunashukuru sana kwa mchango wenu mliotupa hapa.
Asanteni.
Nasikitika sana yule baba yetu huyo kafariki baada ya kumpeleka Muhimibili kwa matibabu zaidi.
Tunashukuru sana kwa mchango wenu mliotupa hapa.
Asanteni.
Mzee anaitwa Thobias
Mlowa, ni Tegeta maeneo ya msikitini,
ila ahsante sana